Hp server harddisk For Sale

Trainer

Member
Dec 28, 2018
89
75
Hp hard disk for sale
Model (as seen on the picture)
Zimetumika Kwa mda mfupi kwenye server (Hp sas servers)
Size 1.2 TB
Speed 10,000 RPM
Price , 150,000 Tsh per P.C.
Zipo 10 pcs
Interested? njoo PM
3b4653e58fc6711c074891bd578ba001.jpg

beb8f92bca3dc61b7cc57447c71f5eb4.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Za kawaida zinakuwaka na 6400 RPM hiviii. Sasa hizi kuwa na 10000 Rpm ina maana gani???
 
Kwa hiyo hapo ndo ulipoongezea bei au sio???

Hiyo bei ya kawaida sana kulinganisha na hizo hdd .. Value yake na bei vitu viwili tofauti , nimezi discount sana yan sana .. search hiyo model (angalia Picha) kwenye google utaelewa nachomaanisha. Hizi ni genuine toka HP

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo bei ya kawaida sana kulinganisha na hizo hdd .. Value yake na bei vitu viwili tofauti , nimezi discount sana yan sana .. search hiyo model (angalia Picha) kwenye google utaelewa nachomaanisha. Hizi ni genuine toka HP

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa boss
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom