HP PROBOOK 4520s.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
nna hp probook ,ina tatizo la kua kama inzima mwanga na kuwaka , yaani inawenge kwnye mwanga ..inakonyezakonyeza kila mara , nikafanya kama kuigonga inatulia kwa mda then inaanza tena .. nn litakua tatizo, ?
 
Back
Top Bottom