HP-DeskJet 800 Plotter

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
354
Habari wana Jamii

Niko na Plotter ambayo ni model hiyo hapo kwenye heading...kwa siku za karibuni imekuwa ikileta matatizo katika quality printing yake.

Nacho hisi ni heading zake zimekuwa nzee sana...kuna mtu kati yetu anaweza kusaidia kwenye kujua jinsi ya kuziweka mpya?mahali zinapo patikana?

All i need ni guidance through ku replace hizo heading.

Buswelu
 
Habari wana Jamii

Niko na Plotter ambayo ni model hiyo hapo kwenye heading...kwa siku za karibuni imekuwa ikileta matatizo katika quality printing yake.

Nacho hisi ni heading zake zimekuwa nzee sana...kuna mtu kati yetu anaweza kusaidia kwenye kujua jinsi ya kuziweka mpya?mahali zinapo patikana?

All i need ni guidance through ku replace hizo heading.

Buswelu

Mkuu,

Tatizo linaweza likawa sio headings kwani hio inonekana bado ni mashine ambayo unaweza kutumia kwa muda mrefu ujao.

Jaribu ku-Upgrade firmware kwa kwenda katika website ya hp na click sehemu ya Support & Drivers na uandike product number halafu endelea kuanzia hapo.

Ni link ifuatayo:

http://welcome.hp.com/country/us/en/support.html

Sina uhakika lakini nahisi pia kuna upungufu mwingine kama memory.

Je una-spool printer kivyake au kupitia server maana kunaweza kuwepo tatizo katika speed na unaweza kusuluhisha kwa kuunganisha printer na computer moja kwa moja kupitia tcp/ip ports.

Kwa hio mkuu jaribu hayo ukishindwa waone fundis.

Kila la kheri.
 
Hi Mwana

Katika Maelezo Yako Hujasema Kama Umewahi Kuifanyia Service Plotter Yako , Nakushauri Uifanyie Service Kwanza Tafuta Mjuzi Wa Masuala Hayo Akusaidie Kwahiyo Itaweza Kurudisha Printer Yako Katika Standard Inayofaa Zaidi .

Mara Nyingi Kuto Print Vizuri Kunasababishwa Na

1 ) Labda Wino Umeisha Au Umepungua ( Lakini Printer Nyingi Zina Oftware Maalumu Ya Kukuambia Kama Wino Umeisha Au Kama Wino Una Matatizo )

2 ) Au Ni Header Chafu Hiyo Huwa Inaonshwa Na Software Yenyewe Au Unaweza Kuamua Kubadilisha Na Kama Zinachomoka Unaweza Kutumia Alcohol Kuziosha Huku Ukiwa Na Contact Cleaner Spray .

Kumbuka Kama Huelewi Kitu Bora Uonane Na Wataalamu Usija Fanya Maajabu .

Kama Uko Tanzania Kuna Bmtl Pale Jamhuri , Kuna Moody Tech Morogoro Road , Kuna Kvd Indira Gandi , Nyezi Ambao Wapo Kariakoo .

Mchana Mwema
 
Back
Top Bottom