Kitabu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 302
- 26
habari za muda huu wakuu,nina printer aina ya HP Deskjet 2130All-in-One,nina print kazi zangu vizuri tu, ila ku scan document ile app kwenye desktop haifunguki kabisa,na hii imenitokea kwenye printer kadhaa za hp, lakini canon hainisumbui kabisa,naomba msaada tafadhali.