the bidhaa
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 256
- 702
Benz Mnyama sana
Mchina sio mjinga atengeneze kitu cha kudumu/imara Kwa bei cheeWatu hawajui kuwa pamoja na howo kuwa rahisi lakini haiwezi kurudisha gharama kabla haijaanza tabu
WABONGO is too much talking. Wana midomo balaa.walahi wabongo wana dharau....khaa.
Hivi ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kumiliki Howo jipya kama paso used tu inakuwa taabu??
Thanks manNunua Howo kaka acha kusikiliza maneno ya watu ambao wengi nna uhakika hawajawahi fanya hiyo biahsara.
Makampuni mengi makubwa yananunua Howo na yanafanya kazi vizuri sana.
Kama unaanza, nunua Howo mpya kabisa hakikisha unaitunza vizuri tu.
Itakuingizia hela yako bila tatizo. Naongea from experience.
Labda Jimbo la MichiganHakuna Jimbo la Detroit unazingua...
Wee ni wakala wa HOWO NA ZHUNGTONG!Wajanja kwenye modern investment hawaangalii gari itadumu miaka mingapi, wanaangalia how flexible wanaweza kuwa endapo watakuwa na gari fulani mkononi, say DAF. Dunia ya sasa inabadilika kila uchwao. So investor mwenye akili hawezi kufikiri kununua gari kwa kufikiri itamsaidia up to 20 years to come kwa sababu dunia inabadilika haraka sana. Kutokana na hayo, mimi nimefanya utafiti mdogo tu (observatory) nimegindua kwa Tanzania matajiri wengi wameachana na magari yanayodumu muda mrefu kama scania wamekimbilia magari ya kichina especially HOWO. Angalia akina Dangote, Lake oil na wasafirishaji wengine wa mafuta wanatumia sana hizi gari kwa ajili ya flexibility (They are cheap). Yani chochote kikibadilika it becomes easy to switch to it.
Mil 300 hukoHivi bei ya Scania horse mpya bei gani please
Huyu jamaa anaelewa kuhusu magariuwingi wa juu ya mawe wa Scania ni kwa sababu ya umri kuwepo sokoni, haimaanishi kwamba hazitengenezeki au spare bei ghali.
Howo hazina umri mrefu sokoni ndo maana huzioni nyingi juu ya nawe.
Scania yenye kilometer laki 6 ni sawa sawa na Howo jipya in terms of durability.
Howo huwezi ifananisha hata na Fuso
It all because of business approach, watu wanata return ya haraka in a low cost.Wajanja kwenye modern investment hawaangalii gari itadumu miaka mingapi, wanaangalia how flexible wanaweza kuwa endapo watakuwa na gari fulani mkononi, say DAF. Dunia ya sasa inabadilika kila uchwao. So investor mwenye akili hawezi kufikiri kununua gari kwa kufikiri itamsaidia up to 20 years to come kwa sababu dunia inabadilika haraka sana. Kutokana na hayo, mimi nimefanya utafiti mdogo tu (observatory) nimegindua kwa Tanzania matajiri wengi wameachana na magari yanayodumu muda mrefu kama scania wamekimbilia magari ya kichina especially HOWO. Angalia akina Dangote, Lake oil na wasafirishaji wengine wa mafuta wanatumia sana hizi gari kwa ajili ya flexibility (They are cheap). Yani chochote kikibadilika it becomes easy to switch to it.
sijaelewa unavosema ya pili kwa nguvu...
nguvu inatokana na horse power bhana mfa
Sijajua kama umewahi fanya biashara zote mbili na ukalinganisha Faida, uchakavu, na thamani ya gari kulingana na muda uliolitumia, kati ya tipa na semi au hata kipisi. Hela ya tipa ni ya matumizi ya hapa na pale lkn kama unajenga kampuni biashara ya tipa hunishawishinimekwambia 7bu ninao uzoefu japo c sana iyo pesa unayotaka kununua kichwa pamoja trailer unaweza ukapata vipisi viwili hadi vitatu vya scania vikiwa bado na hali nzuri kabisa na asikudanganye m2 tipa inaripa sana na haiumizi kichwa kuliko semi ikiwa moja peke yake ,ni ushauri tu