howdy!

Karibu sana......wewe ni she au he...........usitumie lughaya sms au facebook humu!!
Sisi babu zako hatutakusoam kabisa.

Sawa mjukuu!!!
 
nashkuru wana jf kwa kunitoa kamba mguuni

Bado haijatoka, karibu sana

Muhimu kama walivosema wenzangu jitahidi sana kuandika kwa ukamilisho maneno yako. Usitumie sana lugha ya Facebook au SMS humu hatutakuelewa. Sawa eeh

Unatumia Kinywaji gani tukuagizie?
 
chai itakua poa..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom