How Women Fool Men!!!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Haya tena Jamani, Jioneeni wenyewe myashuhudie kwa macho yenu!! Jinsi mnavyochunwa mchana kweupeeeee!!, nimekuwekeeni

msije mkaniuliza source, wenye kupenda .......
 
Attachments

  • How_Women_fool_Men.zip
    236.5 KB · Views: 70,123
we kweli bwabwa.
naomba nikuulize una sifa za mabwabwa ninaowasikiaga?
ni kawaida yako kupakuliwa
 
Sasa tusijirembe jamani mbona hivyo ni visa wewe Bwabwa??
 
Bwabwa una vituko, lakini kwa hapa nimekukubali!
Hawa wanawake bana, nawasikitikia young brodas ambao ndo wako kusakanya sasa hivi!
 
Bwabwa una vituko, lakini kwa hapa nimekukubali!
Hawa wanawake bana, nawasikitikia young brodas ambao ndo wako kusakanya sasa hivi!
Tuko pamoja PJ, samahani sana kwa kukumbusha machungu, Nakupa pole sana kwa msiba wa mzee wetu..
 
Shosti usinikasirikie bure kwa kufichua siri jemeni!

Mi lazima nikumaindi kwa kweli kwa sababu hata Mungu ameturuhusu tujirembe wewe Bwabwa wewe hutaki tujirembe sasa mimi nisipojiremba unadhani nitapendwa?????
 
Wee bwabwa kweli unajua mapigo ya mademu,mi kunademu nilikuwa namjua alikua kama kinyago,lakini ukimuona sasa,lazima uujutie ulijali!!
 
Tuko pamoja PJ, samahani sana kwa kukumbusha machungu, Nakupa pole sana kwa msiba wa mzee wetu.
[/QUOTE]
Nililazimika kukubaliana na hali, maana wanasema kufa ni mara moja tu...no second chance!..huh!
 
Duh!! Hapo Bwabwa naona hii si ya mwaka, itakuwa ya karne....umeniacha hoi
 
Kusema kweli hapa Bwabwa anatusaidia kushtukia hii mitego tunayowekewa na madem, ni hatari sana
 
hahaaa bwabwa,kwa mara ya kwanza hujaniudhi bali umenichekesha..ila wait..una maaana unajaribu kutuponda kwa wanaume au..??heheee hata mie sifagilii ma make up napenda kutoka kinatureli.
 
Mi lazima nikumaindi kwa kweli kwa sababu hata Mungu ameturuhusu tujirembe wewe Bwabwa wewe hutaki tujirembe sasa mimi nisipojiremba unadhani nitapendwa?????
mwambie ajue mamii.mwanamke kujiremba.
 
hahaaa bwabwa,kwa mara ya kwanza hujaniudhi bali umenichekesha..ila wait..una maaana unajaribu kutuponda kwa wanaume au..??heheee hata mie sifagilii ma make up napenda kutoka kinatureli.

Nimekuchekshaaa!!
 
Back
Top Bottom