How to view xml file using Internet browser offline

Unaweza view .xml file not .xml template mana hiyo .xml template inategemeana na template engine. Mfano unaweza tazama blogger template online ikiwa hosted kwenye mfumo wa blogger.com sababu engine inayofasiri viambata vya template ipo kwenge servers zinazoserve blogger.com.

Template hiyo hiyo ukiihamishia kwenye server nyengine ambayo haina required engine basi haitosomeka. So cha kwanza unatakiwa kuwa na required engine.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom