Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,299
- 33,082
Last edited by a moderator:
Mkuu Matatizo ya Blue Screen of Death hayapo tu Kwenye Windows Vista tu. Yapo hayo Matatizo ya Blue Screen of Death Kwenye Windows Zote Windows XP,Windows Vista ,Windows 7 usije ukashangaa hata kwenye Windows unayotumia ipo siku ikakutokea hayo matatizo ya Blue Screen of Death hiyo ni njia tu ya kukuelimisha namna ya kutengeneza vizuri Windows yako siku ikikutokea hivyo mkuu.MziziMkavu,
Hivi bado kuna watu wameng'ang'ana na VISTA?