how to remove shadow in desktop icon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

how to remove shadow in desktop icon

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Shauri, Mar 26, 2011.

 1. S

  Shauri JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hi wana jf
  mwenye ujuzi jamani anisaidie kidogo hapo:teeth:
   
 2. M

  Mayu JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mkuu jaribu kuweka swali lako ktk mazingira mazuri ya kumfanya na kumrahisishia mtu kukupa msaada wa majibu kuliko kuuliza swali litakalo mpa maswali mengi kabla hajakujibu.jinsi ulivyo uliza ni as if wote tunaiona na kuijua pc yako.
  Kitu muhimu ni unatumia OS gani, ilikuwaje na ikawaje, zote zimekuwa hivyo au baadhi, ukiclik zinafungua nk.
  Wenyewe wanasema nyambulisha swali.
  Mimi nina windows xp kunawakati exe file zilikuwa hivyo na zikawa hazifunguku ukiclick nikadownload kasoftwre fulani kadogo kanaitwa exe file association fixer nika run ikafix tatizo, just google "exe file association fixer" kama tatizo ndio hilo
   
Loading...