How to remove password on word doc

mafuru

JF-Expert Member
May 26, 2014
379
38
Jamani, Naombeni msaada namna ya kufungua document ya word yenye password.
 
jamani naombeni msaada namna y akufungua document ya word yenye password
 
Password niliweka mie ila nimeisahau nisaidie bhana mbona mtata hivyo
 
Kwa yoyote anaejua namna ya kucrack document ya word Tafadhali naombeni unisaidie kuna document ya word niliiwekea password na nimeisahau na ninahitaji niitumie document mwenye kuweza kunisaidia anisaidie jamani
 
kwa documents za Office, kutoa password mimi nilishindwa... yaani majanga
 
Ukiweka password kwenye document za ms office na ukasahau hiyo inakula kwako, ndiyo maana ktk kuweka inakuonya kwanza kwamba ukisahau hautoweza tena kuifungua. Kwa kesi hiyo anza kujisahaulisha kabisa kama ulikuwa na document ama sivyo ikumbuke password hakuna ujanja mpaka sasa. Pole.
 
Kwa yoyote anaejua namna ya kucrack document ya word Tafadhali naombeni unisaidie kuna document ya word niliiwekea password na nimeisahau na ninahitaji niitumie document mwenye kuweza kunisaidia anisaidie jamani

Mkuu hiyo andika maumivu, mpaka sasa hakujapatikana namna ya ku-crack password za office document.
 
Back
Top Bottom