How to get copy of xray pictures

Akthoo

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
998
1,015
Tafadhali nisaidieni jinsi ya kutoa nakala picha za X ray au hata kuziscan ili niweze kuzituma
kwa Dr. aliye mbali ili aweze kutoa tathmini yake.
 
ipige picha ya digital provided camera isitoe flash light yaani kuepuka reflection pia tumia mode ya black-white
 
Duu mkuu si utafute mtalaamu wa x-ray au dr wa hilo tatizo aisome na kisha akupatie repoti ambayo utapeleka utakako.
 
Ahsante Tanga Kwetu;
Hiyo ndio njia bora zaidi kwa yeyote mwenye shida kama yangu; hata kwa ajili ya kuzihidhadhi kwa matumizi ya baadae!
 
Picha haitasaidia kwani kuna key things zitamiss. Unajua x-ray is observer dependent, yaani mtu mmoja anaweza kuangalia picha akaona finding muhimu na mwingine asiione.... you know why?.... its because in medicine eyes cannot see what the brain does not know! sasa kwa ushauri wangu ufanye mipango mgonjwa wako apige x ray nyingine lakini kwa kutumia x ray machine ambayo inapeleka picha kwenye computer then mwambie anayepiga akusevie image moja kwa moja then hiyo image ndo uitume. Nadhani muhimbili wanafanya hivyo, ukikosa hapo chek tumaini kwa dr Pedro au agha khan
 
Back
Top Bottom