How to destroy a Country

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,004
F59FB49E-B96D-4B1D-B234-86DD65C80B19.jpeg
 
Hapo kwenye HUMANITY DIES na kwenye MONEY LOST

Nafkiri ni sisi wanachi wenyewe tunajiendekeza ivi unaendaje kusali kanisa la Gwajima kama sio ikili mbovu jitu jongo unalisikia kabisa halafu J'pili unalipelekea sadaka na kwa heshima huku unamwita eti, Baba askofu akuombee !!!

Chama Cha Majizi unaona kabisa miaka 60 hakuna jipya leo wanafikka kukwambia hakuna haja ya katiba mpya na ulishawahi kumsikia Babu yao anakwambia hii katiba akija chizi utawaumiza halafu unakausha koo kabisa eti Chama Cha Mjambazi Oyeeee ... du!! Kaaazi kwelikweli
 
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Umepiga mule mule Mkuu. Ahsante sana 👍🏽

Mkuu chukuwa maji moja kubwa hapo kwa bwashee nalipia fasta 🤣 🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom