How To Become A Vampire- By Rakims

believe what you believe as long as it give you a confort just believe....
 
hakna ka icho vampaya na zombi allien ni wakutengenezua na MAABARA YA KIJESHI ZA KIMAREKANI.
 
Ambaye anamfaham vampire yeyote hapa Tanzania naomba ani pm, me natamani kupata dna ya kivampare sana .
 
Kuna vitu dunia hii vinatokea au kuoneshwa ktk movie wengi tunavidharau. But ukifuatilia ni kama mazingira fulani yanaandaliwa ili vitu hivyo vije viishi miongoni mwetu.

Nashangaa sana kuona watu wenye fikra pevu kuchukulia kila jambo mzaha mzaha tu. Ok! Lets say ni hoax na kwamba hakuna ukweli wowote but let us ask ourselves how do they create vampire movies, zombies, warewolves etc if they dont have a plan over them?
Nakumbuka niliwahi kuangalia movie fulani nimeisahau jina lake ambayo ilikuwa inahusu ugonjwa fulani wa virus ambao uliingia ktk eneo fulan huko marekan na uliua watu wengi mpaka ikafikia hatua watu wakawa wanaukimbia mji huo. Mwisho wa picha jesh la marekani likwenda kupiga bomu la nyuklia eneo hilo lote ili kupoteza kabisa ugonjwa huo.
Movie hiyo kila siku ninaikumbuka hasa nikiangali ugonjwa wa EBOLA na madhara yake kwa jamii.

So tusidhani kila kitu wanabuni kwa ajili ya kufurahisha watazamaji wa movie isipokuwa movie nyingine zinaonesha plan zao za baadae.
I believe there's a vampire.
 
Back
Top Bottom