How to Apply for a Scholarship? & links za scholarships

ogm12000

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
304
86
Hi wana JF

Kutokana na baadhi ya watu kutokufahamu vizuri jinsi ya kuomba scholarship, Nimeona itakuwa vizuri kuweka baadhi ya procedure hapa vile vile anayetaka kusoma na kupata ufahamu zaidi anaweza kuingia google.

Scholarship hazipatikani kirahisi kuna competition fulani ili uweze kufanikiwa kupata hiyo scholarship. Vile vile ili uweze kuwa awarded scholarship inabidi utimize baadhi ya masharti, kwa mfano scholarship ikiwa ni kwaajili ya waislam basi kama mkristo usiapply and vice versa. Kuna scholarship zinatolewa kwa ajili ya waislam waliomaliza masomo ya science high school ili kwenda kusomea udaktari na engineering fields, unaweza kuvisit http://www.isdb.org . IDB inachukua wanafunzi 17 kila mwaka tanzania toka kupeleka uturuki. Tupo wengi tu tulionufaika na scholarship hizo. kuna za Aga khan http://www.akdn.org/ pia ni kwa waislam.

Kuna za wote kwa ajili ya undegraduate, masters na Phd kutoka sweden visit www. studera.nu, kuna za nchi za scandavia NORDIC, Kuna za balozi za nchi mbali mbali, visit website za balozi hizo. Kuna commonwealth pia. Kwa ujumla scholarship links zipo kibao na za kuaminika kikubwa ni kujua procedure na kufuata masharti yanayotakiwa.

Scholarship nyingi zinahitaji mambo yafuatayo:

1. Start Researching Scholarships Early
Anza kutafuta mapema ili uwe na wakati mzuri wa kukusanya doc zinazotakiwa. Vile vile itakuwezesha kutafuta scholarship nzuri zaidi na kuwa na option nyingi.

2. Read Eligibility Requirements Carefully
Soma kwa makini hizo eligibility requirements ili kama unamashaka uweze kuwasiliana na wanaotoa hizo scholarship kwa email au telephone kwa maelezo zaidi


3. Organize All Scholarship Materials
Tengeneza file ambalo utakuwa unaweka doc zako kwa ajili application mbalimbali kama vile;

Transcript
Standardized test scores
Financial aid forms, such as the FAFSA or PROFILE
Parent's financial information
One or more essays
One or more letters of recommendation

Ebwana mambo yako kibao google it utapata tips za kuapply scholarship. Wenye qualification jaribuni u never no mambo yanaweza tick.

Regards
 
Thanx ogm kwa ufafanuzi huo, it seems unapenda wengi wafanikiwe, endelea kutoa tips kadiri uwezavyo itatusaidia wengi, cheers.
 
Wadau asanteni kwa kutupatia hizo tips, tutazifanyia kazi kwani elimu ni gharama lakini upumbavu au kutokuelimika ni gharama kubwa zaidi.
Mungu wa mbinguni awabariki
 
Back
Top Bottom