Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,957
- 8,073
Cha msingi hakuna anaye torosha mtoto hospitali kama KenyaCha msingi hakuna anayetafuna Albino Kenya
Cha msingi hakuna anaye torosha mtoto hospitali kama KenyaCha msingi hakuna anayetafuna Albino Kenya
Tubaki na uchumi wa $61bn lakin watu wakipata huduma muhimu zote na ajira zikiongezeka ni bora kuliko $400bn ambayo wananufaika wachache wengine wakibaki mafukaraIMF najua maswala ambayo hawakuyapenda kwa maamuzi ya magufuli ni Acacia. stigliers George na mengine ndio maana wametumia hiyo fimbo
Cha msingi hakuna anaye torosha mtoto hospitali kama Kenya
Cha msingi hakuna nyumba za mabanda na mabatiCha msingi hakuna anayewauwa watoto wachanga for black Magic
No you don't. We post links here everyday and your countrymen dismiss them everyday.
Also, IMF is the most credible authority, and here we are having an argument about their numbers.
Kwenye hili Wakenya endeleeni kitucheka kwa kweli tuna mtu mmoja anajiita mpz wa Mungu daaa we acha tu.
Cha msingi hakuna anaye torosha mtoto hospitali kama Kenya
Cha msingi hakuna nyumba za mabanda na mabati
Haha. Silly when all your towns are slums
Kaeni na dikteta wenu. Huku hawezani.Wakenya si mlikuwa mnamtaka MAGUFULI, haya mchukueni sasa.....
Labda unieleze weweAenziwe kwa lipi hilo
Wow ,i've always wondered why Tz never could catch up with Kenyan GDP or annual budget figures with their annual 7% growth for decades. Kumbe ni ma Chef sana wa fake data kule kwao ministry of finance ?I wouldn't be suprised that their GDP is $40b.
Hana cha kuenziwa, tunakuja tu sahihisha uwongo mnaojilisha na kuulisha ulimwengu.Labda unieleze wewe
Haha ati umeishi Dar, jipe break na ujingaLife of a sample of normal Kenyans is more advanced than Tanzanians. Taking into account a normal bell curve that there are people at the bottom suffering on both but Kenyans are less in this section.
So bringing up an example of a person starving in a country that is more than half arid does not mean everyone in Kenya is suffering. This logic is obvious through the statistics but Tz wants us to believe without any notable export or production activity that is one of the best in the world, that they are close to Kenya. Wapi tea au airline au flowers au textiles au tourism au horticulture with all that good land kuonyesha hii economy ya Tz inafanya mambo?
Nimeishi Dar na nimeona tofauti ya wenyeji, Nairobi residents wanaoneka kua na pesa zaidi, kwa magari, vile nyumbani imewekwa electronics, spending in mall, dressing e t c