How profitable is Safaricom ukicompare na top Tanzanian firms??

Ebwana ni mtandao gani hapa Tanzania unatoa 10GB kwa TSh 15,000/- ?

Wewe nawe unaishi pori gani hulijui hilo. Hivi Watanzania tunaojadili nao mada huwa wa wapi maana hata nchi yao hawaifahamu, au mtakua mnaishi mitaa ya mabanda hamna habari na matukio ya nchi.
 
Duh ulivyo mjinga na hicho kicheko chako cha kibinti binti, hehehehe wewe unaishi Tanzania gani hulijui hili kwamba mitandao yenu yote kifurushi kikiisha muda wake hata kama unazo MB kiasi gani huwa zinapotea kwa maji, hiyo ni sera hivyo TCRA watafanya kipi kipya wakati na wenyewe ndio hao hao wakuliwa mchana peupe.
Mitandao ya simu huwa imewabana nyote kwenye mapumb.... hamna uwezo wa kujitoa.

Kwa Safaricom nina raha sana maana hata nikinunua MBs kiasi gani na ziishe muda wake bado nitazipata nikinunua kingine, kuna wakati huwa hata nasafiri nje ya nchi nikirudi nakuta MB zangu ziko pale pale, nazifanyia activation tu basi.

Acha povu
Ahaa haa haaa
Wewe mwenyewe umenunua kifurushi cha 24hrs, halafu unataka kitumike with no limit. That is your problem. N don't think anything that is done in Kenya can be taken as a SI unit to adopted by others. unafanya tunachokiona kinafaa.
Btw, how is Maparachichi deal doing.
Also if the missed guy is now see.
 
Kazi yangu inahusu matumizi makubwa ya internet, hivyo huwa siungi ungi kwenye vifurushi vya masaa 24 kama ulivyozoea.
Huwa nawekeza kwa kifurushi aidha cha wiki au mwezi, tatizo ninasafiri sana baina ya hizi nchi najikuta kifurushi ninacho cha wiki na naondoka nchini nikikusudia kurudi baada ya siku kama kumi, hivyo kinazama.
Lakini kwa Kenya hata nikinunua cha wiki na nirudi baada ya miezi, nitakikuta, sema nyumbani nimewekeza kwa mtandao wa lease line ya Zuku.
 
Wewe nawe unaishi pori gani hulijui hilo. Hivi Watanzania tunaojadili nao mada huwa wa wapi maana hata nchi yao hawaifahamu, au mtakua mnaishi mitaa ya mabanda hamna habari na matukio ya nchi.
Nimekuuliza swali rahisi sana. Jibu swali acha ngonjera
 
Kazi yangu inahusu matumizi makubwa ya internet, hivyo huwa siungi ungi kwenye vifurushi vya masaa 24 kama ulivyozoea.
Huwa nawekeza kwa kifurushi aidha cha wiki au mwezi, tatizo ninasafiri sana baina ya hizi nchi najikuta kifurushi ninacho cha wiki na naondoka nchini nikikusudia kurudi baada ya siku kama kumi, hivyo kinazama.
Lakini kwa Kenya hata nikinunua cha wiki na nirudi baada ya miezi, nitakikuta, sema nyumbani nimewekeza kwa mtandao wa lease line ya Zuku.
Siku ukija TZ nitafute mkuu
 
Hivi Wakenya mbona mna envy sana Tz?
Hamuwezi kufanya chochote bila kucompare na Tz? Yaani ukiona thread huku TZ v KE jua imeanzishwa na Mkenya? What is wrong with you guys? Leave us alone. Nyie mna nchi yenu nasi tuna yetu.

Ni wajinga wa Nairobi hasa Wakikuyu tu, husikii Waluo wanafanya comparison wala watu wa Pwani-Mombasa, Pate na Lamu hawana huu ujinga.

Basi tufanye mmeshinda, kila kitu mpo juu na mtabaki kileleni.

Kenya Oyeee
Harambeee
 
Sarcasm yako imefeli. WaTanzania wamekuwa wakitutajataja humu, sasa ni kurudisha mkono. Kutroll na full force
 
Ndugu zetu mmezidi kwa kupenda comparison. Mmeanzisha mpaka uzi wa Kampala vs Dar.....ona muanzilishi ni Mkenya na commentators ni Wakenya. Mna shida gani?
Hivi huko Kenya hakuna platform kama hii mkawa mnaijadili Tz kwa uhuru bila kuja kutukera humu na upuuzi wenu?

Kuna blogger mmoja wa Ghana alisema Wakenya mnapenda comparison ya nchi na nchi sijui mna matatizo gani?
 
Wanayo ya kuitwa KT, ni kujadili wakikuyu na waluo tu, full upuuzi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom