Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,326
- 17,522
Tofauti ya ustaarabu wa Watanzania kwa Wakenya inajidhihirisha kwenye hii video. Kwenye comment hakuna hata Mtanzania mmoja aliyeshiriki kuwabeza Wakenya kwa usafiri wao mbovu. Hii video ni ya 2017, kipindi hicho BRT ilikuwa mpya kabisa ila cha kushangaza hakuna hata comment mmoja ya Mtanzania aliyejimwambafai kuhusu Dar rapid transit.