Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,362
- 33,003
Amini usiamini Jeshi la Hitler lilikuwa na mawazo ambayo yalivuka kiwango. Katika pekua pekua ya Historia ya Wanazi imethibitika kuwa Hitler na jeshi lake walitaka kutengeneza mbwa ambaye angekuwa na uwezo wa kusoma,kuandika na hata kuongea!
Soma hapa kwa habari zaidi How Nazi Scientists Tried to Create an Army of Talking Dogs - Yahoo! News
Soma hapa kwa habari zaidi How Nazi Scientists Tried to Create an Army of Talking Dogs - Yahoo! News