How much water do you need a day?

mimi hii calculation bado sijaielea.....mimi nakunya chupa 10 za kilimanjaro beer per day na glass 2 za maji sasa hapo nashindwa kuelewa niongeze hizi kilimanjaro pia ama ? maana najua nazo zina maji ndani
 
kwenye hili la bia sijui akipita dr. riwa huku atakupa fomula yake.
 
ina maana watu hawanywi maji kihivi, moderators naomba unibadilishie heading ya thread yangu ili walao waione, please.
 
Thank you very much for useful info. Dah mimi lita 3 na ushee kwa siku ntaweza? labda ukijumlisha na serengeti kadha ....
 
jamani angalia fomula ya maji unayotakiwa kunywa kwa siku au mpaka upata ushauri wa daktari???????????:becky:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom