How many O'Level Seats do you have?: Ina maana gani?

Yaani muuliza swali anakuwa kishatambua Wewe ni kilaza na ulifeli kidato cha nne, anachofanya ni kujiridhisha ni kiwango cha ukilaza wako ili ajue ulirudia Mara ngapi kupata credit
 
Siku nikipata mamlaka katika hii nchi nitaufumua kabisa mfumo wetu wa elimu na kuusuka upya.

Mfumo wa kukariri na kutapika vitu katika mitihani sio mzuri hata kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom