Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 739
mtu anaweza kuanda tiles/vigae vingapi jamani kwa wazoefu.....upana na vigae ni 1 sq meter kwa kimoja, ila nyumba ina vyumba 4. thanks.
133 tiles sio sq meters. Plus azingatiev kuwa lazima ununue vya ziada kudidia zile ambazo zitatumika nusu nusu na ambazo zitavunjika.kwenye unit measurement nakuna upana wa one sq. meter
dunia nzima hautapata vipi hivi
One square meter Inabidiatokana na size ya tile mbaya ni urefu mara upana (length x width), sasa fafanua unahitaji kuja nini?
Kwa kifupi nilivyo kukusoma ni hivi
Kama tiles zako zina size let say 30x30cm then one tile equal to 0.09 sq. Meter , hivyo basi kama chumba kimoj kina urefu wa 3 meters by 4 meters maana yake una 12 sq. meters , then 12 devide by 0.09 utapata = 133.3 square meters
All the best
133 tiles sio sq meters. Plus azingatiev kuwa lazima ununue vya ziada kudidia zile ambazo zitatumika nusu nusu na ambazo zitavunjika.
Mkuu , Nimeandika crystal clear kamba kwa mfano huo anahitaji 133.3 square meters na siyo tiles, tiles zina size mbali mbali, hivyo basi box moja la tiles za size ya 30 x 30cm siyo sawa na box moja la tiles za size ya 40x 40 cm in terms of sq. Meters