How Magufuli's Report Has Damaged Mkapa, Kikwete's Legacy

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
655
500
The Tanzanian President John Magufuli 's mineral sands probe report has revealed how the former President, Benjamin Mkapa, steered the country in to mineral development agreements with multinational mining companies in the mid-90s - and it has now sparked discussion around alleged recklessness in crafting and enacting laws "extremely unfavourable to country's interests".source:How Magufuli's Report Has Damaged Mkapa, Kikwete's Legacy
 
PUSHKIN 2000

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
362
250

AKILI ZAKO KAMA ZA Shimo LISSU!!!
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
25,863
2,000
Atakae elewa akuje afanye tafasiri tafadhali...
Maana hii lugha ngumu kwangu, naivunja hadi nikilewa, na leo sina senti ya kukamata jibapa....
 
ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
655
500
mkuu nyuzi za lugha hii magamba hawafiki kutoa matusi
kama ndiyo hivyo kaka, itakuwa haina maana ya hao kuja kujiunga JF. Coz JF tunadiscuss vitu vikubwa kwa maslai ya nchi yetu, Vitu kama hivyo hapo , vikiandikwa kwenye magazeti ya nje, ni kashfa kubwa kwa maraisi wetu wastafu , lazima tuijadili kimapana, na siyo kukurupuka tu. Hau wanataka niandike kwa kiswahili?
 
lokomu

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
4,936

mkuu kuna tahira hapo juu amelewa balimi
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
24,489
2,000
umesoma na kuelewa habari au umejitaipia tu?
Nimesoma yote, kuna shida gani. Kwani lazima nijadili mambo ya kuruia rudia tena!!! Sina muda huo wa kupoteza.

Eeeeh kwahiyo andia yako, sio kuvizia mtu kutafsiri ndio upate habari.
 
lokomu

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
4,936
2,000
Nimesoma yote, kuna shida gani. Kwani lazima nijadili mambo ya kuruia rudia tena!!! Sina muda huo wa kupoteza.

Eeeeh kwahiyo andia yako, sio kuvizia mtu kutafsiri ndio upate habari.
hebu soma vizuri mchango wako
 
areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
7,343
2,000
The Tanzanian President John Magufuli 's mineral sands probe report has revealed how the former President, Benjamin Mkapa, steered the country in to mineral development agreements with multinational mining companies in the mid-90s - and it has now sparked discussion around alleged recklessness in crafting and enacting laws "extremely unfavourable to country's interests".source:How Magufuli's Report Has Damaged Mkapa, Kikwete's Legacy
Sijui Mkapa na Kikwete watajificha wapi kwa kweli,they are so stained. Alichofanya Rais Magufuli na wao wangeweza kufanya!Ni ajabu kwamba waliamua kunyamaza kimya huku wakijua fika kwamba rasilimali zetu zinaibiwa.
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,459
2,000
Hao wameruhusiwa kuwataja watu ambao hawajatajwa kwenye zile ripoti mbili za Kamati zilizoundwa na Rais?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837
2,000
sasa wewe unamtukana nani?, hiyo insu sijaandika mimi, mimi nimeileta hapo kama ilivyoandikwa kwenye magazeti mengine huko Abroad nchi za watu. Tuliza kichwa chako , tuijadili hii taarifa ya wenzetu kama ina ukweli wowote. siyo unakurupuka
Mkuu kumbe unajua Kiswahili vizuri tu kama sisi Waswahili tuliotukuka?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom