How Kikwete, new darling of the West, saved Kenya from collapse

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
How Kikwete, new darling of the West, saved Kenya from collapse

By FRED OLUOCH
THE EAST AFRICAN

What influence and clout did the chairman of the African Union, Tanzanian President Jakaya Mrisho Kikwete, bring to bear on the Kenyan mediation process?

Those were the questions on the lips of most observers as the country celebrated last Thursday’s historic breakthrough in the protracted negotiations.

His intervention came at a time when the negotiations were on the brink of collapse. But Kikwete came into the scene with confidence, declaring that a deal was in the making — and sure enough, it was.

What did he tell President Mwai Kibaki and Raila Odinga?

One theory has is that he came to town with a terse message from US President George W. Bush to the effect that the power-sharing deal must be sealed by all means.

As chairman of the African Union, Kikwete has recently emerged as a key ally and kingpin of the US in the region.

Although this same message had already been passed to Kibaki by US Secretary of State Condoleezza Rice, who had visited Nairobi barely a week earlier, Kikwete’s intervention was bound to meet with a better reception in Nairobi considering that he came to the Kenyan capital wearing two hats — president of a neighbouring fellow member of the East African Community as well as chairman of the African Union.

His visit to Nairobi had added significance in the wake of thinly-veiled threats by the US government, the European Union and even the United Nations of an intervention in the country if the mediation talks failed.

It was US top diplomat Jendayi Frazer who early this month on the sidelines of a summit meeting of the African Union in Ethiopia first issued the threat that the international community would impose a solution on Kenya if the mediation process led by Kofi Annan collapsed.

If any such intervention was indeed being contemplated, the person who would have known its scope and full consequences would have been the chairman of the African Union.

Hence, the theory that Kibaki capitulated in the face of the threat of an AU-led military intervention in the Kenyan crisis.

It appears that the US and other Western powers were worried that without concerted and sustained pressure, the AU would treat the Kenyan crisis with the same lukewarm approach it has adopted on Zimbabwe.

Kikwete’s intervention indicates that the Tanzanian president, who came to power in 2005, is gradually becoming the linkman of the US in the region, having replaced Uganda’s President Yoweri Museveni.

Signs that the US now considers President Kikwete its chief regional ally came in September 2006 when it emerged, to Nairobi’s fury, that Kikwete had discussed Kenya’s “instability” with President Bush during a visit to the White House.

Kikwete’s rise as a regional kingpin has been bolstered by a high-profile anti-graft campaign he recently launched that has seen former powerful members of Tanzania’s ruling party, Chama cha Mapinduzi (CCM), fall one after another — allowing him to redraw power centres and reform the grand old party.

He dissolved the Cabinet after he had accepted the resignation of his prime minister, Edward Lowassa, and two other ministers, Nazir Karamagi and Ibrahim Msabaha, who were both implicated in a major corruption scandal.

The ministers and several other officials were accused of interfering with an energy contract to favour the US-based Richmond Company, contravening laws and rules on procurement.

Observers also saw the reshuffle as a move to dismantle corruption networks within CCM and reclaim party organs from the control of a wealthy clique.

Having been elected the new AU chairman on January 31 this year at the summit in Addis Ababa, Kikwete’s role in resolving the Kenyan political crisis has given the AU a much-needed shot in the arm after its dismal performance in Darfur and Somalia.

As with the defunct Organisation of African Unity, the AU Constitutive Act adopted in July 2000 in Lome, Togo, prohibits interference by any member state in the internal affairs of another.

But Article 4 (h) gives the Union the right to intervene in a member state pursuant to a decision of the assembly in respect of grave circumstances such as war crimes, genocide and other crimes against humanity.

It is instructive that despite accepting the AU-sanctioned mediation, the Kenyan government had earlier maintained that the country was not at war and that an internal solution could be reached, despite the fact that the political crisis in Kenya has had a huge impact on the economies of
Southern Sudan, Uganda, eastern Congo, Burundi and Rwanda.

The new deal involves the creation of the post of prime minister, which will put Kenya on the path to fully adopting a parliamentary system, a goal that has eluded the country for the past 15 years.

However, it is Kikwete’s emergence as an influential figure in the region that could spark a major realignment within the Great Lakes region. Until now, Uganda’s President Yoweri Museveni, who is also the Commonwealth chairman, was believed to be the darling of the West.

However, his victory in the disputed 2006 elections and the harassment of opposition figures before and after the polls dented his image as a reformer who had saved Uganda from sliding into total anarchy.

Similarly, his move to change the constitution to do away with the presidential term limit did not go down well in the West.

In the late 1990s, Museveni, together with the late Congolese president Laurent Desire Kabila, Paul Kagame (Rwanda), Meles Zenawi (Ethiopia) and Isaias Aferworki of Eritrea, were seen by the West as a “new breed” of leaders with the vision to move Africa forward.

While President Museveni still remains a strong ally of the West, President Kibaki has had a love-hate relationship with the West since he adopted his “Look East” policy.
 
A darling, stooge? Kibaraka, mtumwa? because this sounds like mtumishi wa!

I wish whatever he did to make Raila and Mwai to sign the damn agreement was free of Mkono wa "wafadhili"!
 
Kikwete anastahili sifa kwa hili na mengine, nimesema siko zote, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Narudia, Ahsante JK kazi zako njema zinaonekana.
 
Ndugu Dar es Salaam kulingana na thread hii na hiyo taarifa ya East African unamsifu JK kwa lipi??????????
 
Kikwete anastahili sifa kwa hili na mengine, nimesema siko zote, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Narudia, Ahsante JK kazi zako njema zinaonekana.

..kazi ameifanya annan. our guy was there for the final hammering and signing.

..naona hajapewa credit yoyote kwenye western media,i wonder why?
 
Ndugu Dar es Salaam kulingana na thread hii na hiyo taarifa ya East African unamsifu JK kwa lipi??????????

..huyo ndugu ni fan mzuri wa JK. kwani,hata JK akicheka tu,yeye atamsifu kwa kucheka vizuri.

..not a bad thing,i should say!
 
Ndugu Dar es Salaam kulingana na thread hii na hiyo taarifa ya East African unamsifu JK kwa lipi??????????

" His intervention came at a time when the negotiations were on the brink of collapse."

Kwa hilo hapo nimelibanduwa na kulibandika hapa toka kwenye hiyo post ilyoanzisha thread ili wewe na wengine msiseme nimekurupuka tu.
 
hiyo statement haisemi lolote kuwa alivyofika ndipo mazungumzo yakaendelea. Hata kama ni hivyo, hongera kwa Kikwete kwa "kumaliza mgogoro wa Kenya" je twaweza kuendelea kujua hatima ya wale waliouwawa Pemba 2001?
 
Waliofanikisha muafaka ule ni Raila na Kibaki wengine hao wengine ni "ceremonial figures" tu....
 
Waliofanikisha muafaka ule ni Raila na Kibaki wengine hao wengine ni "ceremonial figures" tu....

Mkuu Masatu,

Imagine lile pambano la Muhamed Ali na Gorge Foreman kule Zaire, kusingelikuwa na refaree, unafikiri mtu angetoka salama pale?

Bila ya Anna na kundi lake, Wakenya sasa wangekuwa wanavuja damu toka kila sehemu.
 
Kikwete anafanya vizuri sana watu wengine watapinga kila kitu cha kikwete na hawatampa credit lakini kujuana na kushirikiana na watu wa nje ni muhimu sana. Nchi yetu inahitaji wawekezaji na misaaada hasa kwenye barabara, elimu, na afya. Net za malaria zimepunguza watoto wadongo wagonjwa kwa asilimia 95%. Bush ameenda A to Z Arusha na kuahidi net za mbu kwa watoto 5.2 million wa kitanzania. Hii itasaidia watu wa Arusha kupata kazi, itasaidia watoto kupona na vilevile inasaidia nchi kufikiria maendeleo badala ya magonjwa tu. Tumepata dollar 700 million za barabara kwa watu wengine ni utumwa lakini kwa watu wa kigoma ambao hawana barabara ni kitu kikubwa. Tatizo kubwa la Tanzania ambalo kikwete anatakiwa kupigana kufa ni corruption maana hata kama unapata pesa kama kuna corruption pesa zitaliwa tu. Lakini kiwete anahitaji credit na pongezi kubwa. Kuhusu Kenya sasa wakenya waliokuwa wanamtukana kikwete wamenyamaza na wengi wao wanamsifia kwa kusaidia. Watanzania tupunguze hasama na tupongeze panapo stahili na hapa kikwete anastahili pongezi.
 
Wewe kweli ndugu yangu umepotea. Yaani unasifia kupata msaada wa net za mbu as if Tanzania haikuwa na uwezo wa kununua hizo net za mbu.

1. Unadhani pesa za Buzwagi hazitoshi?
2. Unadhani pesa za IPTL, Richmonduli hazitoshi?
3. Hizo zinazoporwa benki kuu hazitoshi kununua net za mbu?

Unataka kusifia mtu anayetumia mabilioni kupata maelfu? Kama wewe ni mshauri wa Kikwete basi hii nchi inaenda kuzimu!
 
Mwafrica hujanielewa na unabidi usome message nzima. Hatuwezi kuishi bila misaada kwa sasa, miaka ijayo itawezekana lakini kwasasa tuna chaguo mbili misaada au madeni, na mimi nafikiri misaada ni mizuri kuliko madeni. Miaka 5 iliyopita nilikuwa natumia $500 kwa mwezi kununua dawa za ndugu yangu za ukimwi na sasa natumia $0 kwasababu dala zipo kwa wagonjwa kwa bure. Hii yote imewezekana kwa sababu ya misaada, kama wewe unataka mikataba ndiyo ilipe dawa ni mawazo yako lakini mimi binafsi na watanzania wengi wamefaidika kwa misaada tutake au tusitake.Nchi yetu itafikia wakati wa kujitegemea lakini kwa sasa kuhudumia watu 40 million na tuna deficit kwenye budget ya 30% na budget yetu yote ya Tanzania ni $3Billion misaada ni muhimu hasa ya afya. Je kuna ubaya gani kusaidia watoto net za mbu hata kama ni $25 million wametoa kwa hilo na watoto wanapona kunaubaya gani? Watanzania kwa upande mmoja tunatabia ya kupinga vitu kwani tunapenda ubishi na ubishi huu wa Mwafrica hauna msingi.
 
" His intervention came at a time when the negotiations were on the brink of collapse."

Kwa hilo hapo nimelibanduwa na kulibandika hapa toka kwenye hiyo post ilyoanzisha thread ili wewe na wengine msiseme nimekurupuka tu.

Kwa hiyo ndugu Dar, wewe siku zote huamini kila kitu kiandikwacho magazetini?
 
Tena ndio wameweka chumvi kwenye kidonda.

maana nimejaribu kupitia magazeti ya KENYA there very little mention ya role ya Tanzania. Najua wakenya hawakupenda aggressive tactics alizofanya Museveni lakini kwa nini hawataki kuacknowledge Tanzania
 
Back
Top Bottom