Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
Jpm ni mtu anayeweza akafanya vema akiwa chini ya uangalizi wa kupewa amri. Kinyume na hapo ataendelea kufanya madudu.
Viongoz wa namna yake huwa wagumu sana kutoka madarakani.We wish him happy new year; nawaza siku zake za utawala ukiisha atasumbuliwa na kukosa usingizi kwa kusemwa vibaya kama Mkapa.
Niko peke yangu lakini nimecheka sana. Typical UVCCMHaujui Kiingereza!
Weak response to a strong argument my nigga.umeshindwa hata kujibu hoja maskini ya mungu.kweli kazi za propaganda mitandaoni ngumu, natumai wanawalipa vizuri .effin trollHaujui Kiingereza!
grammartical...???Bado ana safari ndefu mno kujua grammartical eng. kufikia level za wakongwe kama NN na MMM.= nyani ngabu na mwanakijiji.
ukitaka kuwa masikini kama nyani ngabu au mwanakijiji poteza muda kwenye grama.Bado ana safari ndefu mno kujua grammartical eng. kufikia level za wakongwe kama NN na MMM.= nyani ngabu na mwanakijiji.
Agiza chochote nakuja kulipaukitaka kuwa masikini kama nyani ngabu au mwanakijiji poteza muda kwenye grama.
Hahaaa! Yaani imebidi nicheke kwa nguvu.ukitaka kuwa masikini kama nyani ngabu au mwanakijiji poteza muda kwenye grama.