Disposal
JF-Expert Member
- Oct 22, 2013
- 285
- 78
HOW I TOOK YOUR GIRLFRIEND ! ! !
.
Ulipokuwa ukimpotezea Watsapp, mimi nilikuwa nikimpa attention ya kutosha kwa meseji kedekede.
.
Wewe ulivyokua unaenda 'out' na washikaji zako na kumwambia huna muda na yeye, mimi nilikuwa nae karibu.
.
Wewe ulivyokua hutaki kupokea simu zake, mimi nilimpigia mara kwa mara.
.
Wewe ulivyokua busy na mambo yako binafsi na wanawake wengine mimi nilimpa muda wangu wote nilionao.
.
Pale ulipokua haupo karibu yake katika matatizo mazito, mimi nilimpa bega langu aegamie.
.
Pale ulipolala bila kumpigia simu au kumuandikia short text ya usiku mwema, mimi nilimuandikia shairi zuri nikielezea jinsi gani alivyo mzuri.
.
Jinsi nilivyokua nazidi kumfurahisha na kumfanya atabasamu ndivyo nilivyokua nazidi kushinda moyo wake.
.
Jinsi nilivyozidi kumpa furaha na kumtia moyo, ndivyo alivyozidi kukuona wewe ni mbabaishaji na hauna future yoyote nzuri na yeye.
.
Hakukusaliti wewe bali alikuchoka na tabia yako ya kutomthamini na kumuona ni takataka
.
Alijaribu kukupigia simu ili akupe nafasi ya mwisho lakini kama kawaida yako na kiburi chako haukumsikiliza, hivyo akanipa mimi moyo wake aliokukabidhi wewe.
.
Kama unataka kujua ni kwanini nimempata mwanamke wako, tambua haya.......
* Nilijifunza kumsikiliza
.
* Nilijifunza kwamba vitu vidogo kwa mwanamke vinamfanya awe na furaha.
.
* Na zaidi ya vyote nilijifunza kumpenda kama jinsi yeye anavyotaka apendwe.
.
Hii habari sio kweli kwamba nimefanya hivyo, msipanick ila ni kujifunza kwamba;
.
Kamwe usichukulie jambo au mtu kirahisi rahisi - Never Take Anything Or Anyone For Granted.
.
Kwa sababu huyo unaemchukulia kirahisi rahisi yupo mtu pembeni anaomba kwa Mungu ampate.
.
Kama upo kwenye mahusiano au ndoa, siku zote jitahidi kuwa karibu na mpenzi wako. Chochote chaweza tokea.
.
Hakuna mtu anaependa kuchukuliwa kirahisi rahisi wakati yeye amejitoa kwa asilimia zote.
.
Hata Wanawake huwafanyia hivi wanaume, hivyo inatuhusu sote wanawake na wanaume.
TUWE NA BUSARA.
IKIKUUMA JUA IMEKUHUSU.
Share
Credits: R&D