How Finance works in Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How Finance works in Dar

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mtanganyika, Apr 29, 2008.

 1. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2008
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Jamani wakubwa mimi nina swali. Nimeondoka home zaidi ya miaka 10. honest sijawai rudi, sema nafuatilia mambo yote ya opportunity online.
  Nina swali mmoja, Jee Dar kuna ooportunity katika maswala ya finance. vitu kama Capital Market analyst, treasure analyst, equity analyst, fixed income security analyst. Kingine jee DSE index wanakuwaga na kazi?

  Jee swala la kipato linakuwaje kwa mtu mwenye BBA finance na MBA Finance.

  Jee kuna investment groups ambazo zina allocate assets International? Na kama zipo kuna mtu mwenye info zao, yaani group zinazo wasaidia investors kuchannel fedha zao kwenye international index, kama Nikkei, NYSE, LSE au JSE.


  Thanks..
   
 2. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bwana tatizo huku displine ya finance inamezwa na accounting hajasimama kivyake kama inavyopaswa kuwa,nakushauri utafute ACCA
  pia ukiwanayo hapa mambo poa,nadhani Around TSH 2M au zaidi unaweza pata,na kwa maisha ya bongo utaweza kuacess loan ya x 20 ya huo mshahara wako ,ukiwa mjasiri wa mali utafanya mambo fulani.
   
 3. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2008
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Kulavarage 20 Million kwa 2 Million that sound more than hedge fund. Why wanatoa big loan kiasi hicho? Kuna kitu mtakuwa mnamiss. jee Annual Ineterest rate inakuwa % ngapi?

  Kusema kweli accounting inboa, and am not interesting kuanza kubalance debit and credit. Ijapokuwa ili uwe finance guru inabidi ujue account. I know kucheza na Financial statement, lakini kupost Journal entry au kuadjust Journal naawachia ma accountant.

  Thanks kwa ifo though, nimesikia kuna kitu kinaitwa UMOJA TRUST FUND jee unaweza nitafutia what is real ndani ya hii fund, nani ni portfolio manager, ana allocate vipi assets zake.
   
 4. m

  mwewe Senior Member

  #4
  Apr 29, 2008
  Joined: Jul 17, 2007
  Messages: 125
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Openings kibao zipo.

  financial analysts wanahitajika kwingi tu. Kwenye Public institutions mpaka uone tangazo (kama ni mtoto wa mlalahoi).

  Private financial and commercial institutions zipo nying hivyo ni kujinadi tu.

  Coys. kama Pricewaterhouse.., Delloitte, KPMG etc. zipo na zinaajiri watu kama hao.
   
 5. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2008
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Thanks. PWC and KPMG ni organization nzuri
   
Loading...