How East Africa Is Setting An Example For The Rest of The Continent

Report inasema Tanzania ndio kinara kwenye East African Community.

"The AfDB presentation stated that three of the top five fastest growing countries on the continent were from East Africa as well.

They were Ethiopia, Tanzania, and Djibouti and their economic output rose by 8%, 7.2%, and 6.3% respectively. Rounding off the top five was Cote d’Ivoire (8.4%) and Senegal (6.7%
).
 
Kausha blaza and let us celebrate as a whole hata mara moja.
 
Report inasema Tanzania ndio kinara kwenye East African Community.

"The AfDB presentation stated that three of the top five fastest growing countries on the continent were from East Africa as well.

They were Ethiopia, Tanzania, and Djibouti and their economic output rose by 8%, 7.2%, and 6.3% respectively. Rounding off the top five was Cote d’Ivoire (8.4%) and Senegal (6.7%
).
thanks brother...we can read too...long live EAC plus Ethiopia Djibouti etc
 
Wabongo hawataki ushambenga kabisa kwani mmewafanya nn
dah! yaani nataka tuungane wabongo pmja na wakenya tu....nimechoka na kulinganisha kila wakati....tupendane priss..the thread inasema East Africa, jamaa anakuja kuleta mambo ya TZ vs KE...haha! yaani naboeka sana
 
Hongera e.a kamuungano ketu kadumu, ila tusisahau wale waswahili wanaokavutaga nyuma, bila wao tungekuwa tunatoa mikopo ulaya!
 
tulia ndugu...hata economy ya India ina grow haraka kuliko United states of A....hii isikupe mihemko...relax...anyway the point is East Africa vs the rest of africa...Big up Tz, Big up Kenya, Big up all other east african states...together as one!!
Ila nina swali India ndo nani hapa East Africa kati ya Tanzania na Kenya! Maana una uma na kupuliza...o_O
 
When it comes to the issue of East Africa it's all about Ke vs Tz, you kenyans, it's not the right time to tell us how a should behave...you were talking all bad things towards bongo for decades claiming all shits as if you're already developed nation ,stay calm and enjoy the fruits of you're
seeds, ukipanda chuki huwezi vuna upendo kamwe....tuwaseme hadi tuchoke vumilieni bado miaka 20 yakuwawapa zauso
 
Ndugu, lakini historia iko wazi kuonyesha uchokozi ulianzishwa na nani.

Baba wenyu wa kwanza wa taifa kika mara alikuwa akikosoa Kenya, mfumo wake wa kiuchumi, kwamba wanaungana na imperialists. Viombo vyenyu vya habari vilikuwa vikisema tu mambo mabaya kuhusu Kenya.
Nyerere akatuita "manyang'u", wakenya wakatulia tu. Ile siku aliliitaja jamii ya Kenya kama " dog eat dog society" akapata jibu nzito, ya kwamba Tanzania yake ni " dog eat nothing society"! Na hilo lilimuuma kweli!

Nyerere ndiye alifunga mipaka yake na Kenya, kuwafurusha wakenya waliokuwa wakiishi Tanzania......

Hata kama alikuwa hapendi sera za Kenya, hiyo chuki yote ilikuwa ya nini?

*************

Sasa hapa Jf, mara yangu ya kwanza kulijua, niliwakuta watz wakitukejeli baada ya kupatwa na janga la kushambuliwa na maghaidi, ambapo watu karibu 70 waliaga.
Nikaona tena, kila jambo nzuri kuhusu Kenya likiwekwa hapa, watamzania hufululiza kuziponda.

Kwa hivyo, wenye roho chafu kati ya wakenya na watz ni nani?
 
Back
Top Bottom