vanilla
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 448
- 356
hello members, as you can notice i am new in this forum. going through different posts here i have seen how you posses great potentials and how you use it to assist one another. so with all the respects naomba nililete wazo langu kwenu, zaidi sana ni maswali tu kutokana na interest niliyonayo. mimi ni graduate but as we all know kwamba ajira ni tatizo sana kwa sasa so nimekuwa nawaza what to do ili nijipatie kipato. interest yangu imeangukia kwenye utengenezaji wa kadi za mialiko especially ya harusi. nimejaribu kugoogle some info about it but nimeona nililete huku pia.
-je ninahitaji mtaji kiasi gani kuanzisha biashara hii?
-vifaa vipi ni muhimu sana katika biashara hii?
-je kuna course yoyote ambayo inaelemisha kuhusu hili ama my creativity is enough?
-what kind of softwares do i need ili kutengeneza kadi zenye quality nzuri?
please anyone with more info and details on this i will so much appreciate your contribution as i am interested to do this and i am very creative maana niliwahi kutengeneza kadi back then just for fun but now i am thinking of making this proffessional.
thank you in advance!!