How do i change Window Vista to Window XP

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
Hey Jambo Forum mates

Niliuliza siku moja kuhusu kununua computer nzuri...nikapata majibu mema na yaliyo nisaidia kunipa mwangaza.

Sasa nimenunua hiyo laptop aina ya ACER Model.
Ila sasa iko kwenye window vista na kuna baadhi za software
za kazi yangu zinakuwa na matatizo katika kuzi install kwenye window vista...how do i change that to Window XP
Specication za laptop yangu ni kama ifuatavya
.

AMD® Turion 64-2.0GHz MK-36 Processor; ATI Radeon Xpress 1100 Chipset
1024MB (1GB) DDR2 RAM (max 4GB)
80.0GB 5400RPM SATA HDD
Integrated DVD±RW (Dual Layer) Drive (Copies/Burns DVDs & CDs, and plays DVDs & CDs)
Audio: Altec Lansing Digital Audio (16-bit)
Graphics: ATI Radeon Xpress 1100 128MB
TouchPad pointing device
Lithium-Ion Battery (up to 2.6 Hours), A/C Adapter
14.1-inch WXGA CrystalBrite WIDESCREEN display (1280x800)
Interfaces: 1 x PC Card Type II; 3 x 4-pin Type A USB 2.0 - USB; 1 x mini-DIN S-Video Out; 1 x VGA; 1 x Mini-phone S/PDIF/Audio Out; 1 x Mini-phone Microphone; 1 x Mini-phone Audio In; 1 x RJ-11 Modem; 1 x RJ-45 Network; 1 x DC Power Input
Memory Cards Support: Memory Stick PRO; xD-Picture Card; Secure Digital (SD) Card; MultiMedia Card (MMC); Memory Stick
Integrated 56K Modem: 56Kbps V.92 Data/Fax Modem
Integrated 10/100 Ethernet: Fast Ethernet IEEE 802.3u
Integrated Wireless: Acer InviLink 54Mbps Wi-Fi IEEE 802.11b/g
Dimensions: 13.4" Width x 9.88" Depth x 1.10 - 1.37 " Height
Weight: 2.4Kg
Microsoft® Windows® Vista
Acer Arcade; Acer Launch Manager; Norton Antivirus; Adobe Reader; Cyberlink Power DVD; Cyberlink Power Producer; NTI CD Maker; Acer Empowering Technology: eDataSecurity, eLock, ePerformance, eRecovery, eSettings, ePresentation
 
Ulizia uliponunua kama wana plan ya rollback and how that works as far as getting XP and who is responsible for rolling back, how do you get the preinstalled software etc.

Check out http://blogs.zdnet.com/microsoft/?p=543

The Microsoft forum on the subject is simply dismissing this with advice to "use the XP CD to fromat and install XP" as if wanagawa hizo XP CD.But if you have XP and are tech savvy this is your best shot, be sure to back data and have all drivers, especially network card drivers.I am assuming you have access to the net and if resourceful or inquisitive enough, as long as you have the network card drivers working and can connect to the net you should be able to get the rest.

http://forums.microsoft.com/TechNet/ShowPost.aspx?PostID=1381587&SiteID=17
 
Hi Buswelu, unachotakiwa kufanya hiki: kama uliponunua laptop ilikuwa na CD zake zote yaani Motherboard CD,OS + Drivers that is fine. Kama hakuna hizo CD, tengeneza back-up kutoka kwenye Recovery Drive.

Baada ya hapo hakikisha una Windows XP (Genuine) then install by booting from the CD. Baadaye unaweza download all drivers from acer website or from www.intel.com. for this you need a fast internet connection.

Kwa ujumla utafanikiwa. Mimi nilinunua HP Pavillion Laptop na nilifanya hivyo na mpaka leo sijapata tatizo lolote. Just try.
 
Hi Buswelu, unachotakiwa kufanya hiki: kama uliponunua laptop ilikuwa na CD zake zote yaani Motherboard CD,OS + Drivers that is fine. Kama hakuna hizo CD, tengeneza back-up kutoka kwenye Recovery Drive.
Baada ya hapo hakikisha una Windows XP (Genuine) then install by booting from the CD. Baadaye unaweza download all drivers from acer website or from www.intel.com. for this you need a fast internet connection.

Kwa ujumla utafanikiwa. Mimi nilinunua HP Pavillion Laptop na nilifanya hivyo na mpaka leo sijapata tatizo lolote. Just try.
Mkuu hapo ndio tatizo,nyambulisha vizuri ili nasisi tuelewe
 
Mtu,

Ninatoa maelezo haya rejea ikiwa ni HP Notebook. Ni kwamba ukinunua HP Notebook matoleo ya sasa hivi, kwa mfano mimi nina HP Pavillion dv6000. Jamaa wa HP hawatoi CD. Kwa hiyo back-up ya installation CD na Drivers zote zinakuwa kwenye Recovery Drive ambayo by Default is drive D (HP_RECOVERY (D:)). Kwa hiyo, ili kutengeneza back-up utahitaji uhamishe drive nzima(D:) yaani recovery drive into a CD au DVD. Kwa jinsi Window vista ilivyo kubwa, DVD will work, kwa sababu nilitumia 2 DVDs kuhamisha drive D yote. Naamini nimeeleweka.
 
BUSWELU HUJASEMA NI ACER MODEL GANI

ANGALIA UKIJUA MODEL( CHINI YA KIOO ) YAKE THEN TEMBELEA http://global.acer.com/support/download.htm

HAPO UTAPATA MAELEZO NA MSAADA ZAIDI WA DRIVERS ZA HIYO ACER YAKO

I believe the model is: ACER® Aspire 5050, and if really necessary to know it in order to solve his/her problem, can easily be determined from the specification presented above.



SteveD.
 
Huna haja ya kubackup kama point yako ni kwamba huhitaji Vista kwa vile appl zako haziko compartible na vista. Newer OS zina database kubwa za driver kutoka kampuni mbalimbali hivyo hutakuwa na shida yoyote kama uta-boot kutoka Windows XP cd/dvd rom. Baada ya ku-instal xp nenda website ya Acer angalia ni driver gani unahitaji incase kitu fulani haki-function vizuri.....
 
Huna haja ya kubackup kama point yako ni kwamba huhitaji Vista kwa vile appl zako haziko compartible na vista. Newer OS zina database kubwa za driver kutoka kampuni mbalimbali hivyo hutakuwa na shida yoyote kama uta-boot kutoka Windows XP cd/dvd rom. Baada ya ku-instal xp nenda website ya Acer angalia ni driver gani unahitaji incase kitu fulani haki-function vizuri.....

Juakali,

Uzoefu wangu umenionyesha ni vizuri kuwa na drivers angalau za nework card kwa sababu unaweza kuweka XP halafu network card ikawa haifanyi kazi na drivers za XP ukashindwa hata kuunganika kwenye mtandao.

Kuhusu back up, hiyo ni kama aliweka data zozote kama mafaili yake kwenye hiyo computer mpya yenye Vista.
 
Kuwa Na Driver Za Network Pia Inategemea Na Aina Ya Connection Ya Internet Unayotumia Mfano Kama Uko Tanzania Kuna Option Ya Modem Ambazo Huhitaji Ufanyaji Kazi Wa Network Card Na Kama Kawaida Usb Huwa Zinaingia Automatic
 
Suala Muhimu Ni Kwa Yeye Kutafuta Driver Za Windows Xp Maalumu Kwa Model Yake Ya Laptop Kama Wengi Wanavyojaribu Kumshauri

Na Kama Umenunua Dukani Ni Vizuri Hapo Hapo Dukani Ongea Nao Wao Watakuwa Na Jibu Zuri Zaidi Kwa Ajili Yako Kwa Sababu Hata Wakikupa Windows Xp Itakuwa Licenced Kuliko Huku Mitaani
 
kama uko karibu na sehemu uliponunulia tafadhali waambie wakupe drivers ambazo ziko compatible na xp watakupa,then install your xp together with tose drivers.kuhusu your data recovery make sure unainstall your xp in a driver that does not contain your umportant data, otherwise move them to another driver.good luck
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom