How come USA wanaendeleza vikwazo vya silaha Nigeria

mnyama k

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
1,079
344
Wakuu nimesoma habari BBC kwamba Marekani badoimewawekea vikwazo vya silaha nigeria.

Sasa minajiuliza kwamba USA wanapambana na ugaidi popote ulipo duniani.

Inakuwaje katika kipindi hikikigumu kwa taifa la Nigeria wanapopambana na hawa magaidi bokoharamu than wao bado wanawanyima Nigerian fursa ya kuagiza silaha mpya zakisasa iliwapambane nahilikundi.

Natukumbuke hawa jamaa wakikususa ujue na washirikawake woote wanakupuuzia.
 
Hii kweli haiingii skillni...adui wa adui yako no rafiki yako...vise versa can be true
 
hata mie nashangaa,Russia ilikuwa ndo sehemu pekee wao kupata silaha,maana haina ushirika wowote na USA ni maji na mafuta,anachopinga US,Russia anakifanya,waende urusi kununua hizo silaha haraka sana,mbona warusi wana silaha nzuri tu na za kisasa ile mbaya.
 
Urusi ndo wafadhili wa boko haram hivyo hawawezi kuwapa silaha serikali ya nigeria kupambana na boko haram
 
Urusi ndo wafadhili wa boko haram hivyo hawawezi kuwapa silaha serikali ya nigeria kupambana na boko haram

Mmh! Sio sahihi mkuu, itakuwa USA ndo wafadhili wa boko haramu ndo maana wanakataa kuwauzia hizo siraha. Wangekuwa ni warusi naamini USA wangekuwa wameshawapatia tena bure kabisa. Kitu kingine Urusi haina rekodi ya kushirikiana na waasi kwa upande wa Afrika na hata ulimwenguni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom