How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

Kuna Kiongozi wa Tanzania ambaye hajawahi kujenga kwao ukiondoa Mkapa tena ambaye anachekwa na kulaumiwa na Watz hao hao kama wewe alipoenda kujenga Lushoto badala ya kwao Mtwara, hata hivyo Mkapa alijenga Daraja kwao lijulikanalo kama Daraja la Mkapa, alifufua Mtwara corridor ambapo lengo ni kuunganisha Bandari ya Mtwara na Ziwa Nyasa vile vile alijenga Daraja la umoja kuunganisha TZ (Mtwara) na Msumbiji kote huko ni kwao yeye Mkapa?

Mlm.Nyerere aliijenga kwao Butiama leo hii hata mtoto mdogo anajua Butiama ni nini na wapi ingawaje hakuna chochote huo isipokuwa ni kwamba ni mahali alipotoka Mlm.Nyerere hata Mkoa wa Mara haukuwepo wkt tunapata uhuru lkn Ml.Nyerere aliuanzisha kwa sababu ni kwao achilia mbali Wakuu wote wa Majeshi TZ walitokea Mkoa wa Mlm.Nyerere Mara, ingawaje hiyo ni mada nyingine, akaja Mwinyi kwetu Pwani kulikuwa hakujulikani kwanza yote tulikuwa kama sehemu ya Mkoa wa Dar kwa kuwa Mwinyi kwao asilia ni Kisarawe akaanzisha hiyo Wilaya na kuunda rasmi Mkoa wa Pwani kuutenganisha na Dar leo hii Kisarawe imeendelea ni kwa sababu ya Mwinyi tu, akaja Kikwete hakuna aliyeijua Msoga na Chalinze ukiachia njia ya kuendea Mikoani lkn Kikwete (Serikali) aliwekeza Bagamoyo na Chalinze mambo mengi yalifanyika huko kama mradi mkubwa wa maji kwenda Chalinze, hata kulikuwa na mpango wa kujenga Airport mpya na kubwa ya Kimataifa Bagamoyo achilia mbali Bandari ya Bagamoyo na mambo mengine mengi tu, sasa kwa nini kwa raisi Magufuli ije kuwa nongwa na tayari mnamlinganisha na Mobutu kama siyo chuki binafsi ni nini?

Inawezekana kabisa labda ndiyo mfumo wetu na mpango wa Serikali yetu kwamba Kiongozi Mkuu wa nchi anakotoka kunapewa upendeleo fulani, kwa maana wote ni hivyo hivyo hata Monduli inajulikana tu kwa sababu ya Sokoine, Same imejengwa na kuunganishwa na Umeme na Br. kwa sababu ya Msuya kabla ya Msuya Same ilikuwa ni kijiji tu na vumbi tupu, Manyara umekuwa tu Mkoa kwa kumegwa ktk Arusha kwa sababu ya Sumaye, yeye ndiye aliyefanikisha hilo kwa kuwa ni kwao, Katavi imekuwa tu Mkoa kwa sababu ya Pinda ambaye ni kwao, sasa kwanini iwe ishu kwa Magufuli kama kila Kiongozi kuanzia Nyerere wote walikupa kwao upendeleo maalumu? Kwa nini hamfananishi Mlm.Nyerere na Mobutu?
PAMBAFFFFFF
 
Kufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Aiseeee.... Kuna mtu huwa ananiambia binadamu tuna power flani ila hatujuhi..
Kuna mtu alipata ugonjwa (cancer) akapewa taarifa kuwa imesambaa sana huna miezi 6 na madaktari akajibu mimi sifi kama mnavyoona.. Imepita miaka 12 bado yupo na cancer ipo ila haimdhuru afya yake..
Angalia hii comment ya mwaka 2016 na majibu yake...
 
Mjenge kwa hela zenu si hela ya kodi yetu! Chato kama ilivyo itakaribisha wakina Raila tu na haina umuhimu wa Uwanja wa Kimataifa ikiwa wa Mwanza upo!
Aya tunajenga bandari bagamoyo, jirani na bagamoyo hakuna bandari yoyote. (Dar au Tanga) sena lingine.
 
38 Reactions
Reply
Back
Top Bottom