Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,635
- 7,918
Walimu wengi wa high school tanzania wana shahada na hata siku moja mishahara yao si sawa na mishahara ya walimu wa US,especially ukiongelea distribution ya "wage bill" i.e public/government workers salaries.Tunaangalia distribution ya fedha zilizopangwa kugharamia mishahara na posho za wafanyakazi wa serikali and how it's distributed.Mzee Mwanakijiji,
Jibu lako ni rahisi sana kwani Tanzania mwalimu wa shule ya secondary (shule za kata) hana elimu sawa na mwalimu wa shule ya sekondari US wala UK, na pia kazi ya Ualimu kwa Tanzania ni kazi ya mwisho yaani wale walioshindwa maisha ndio hukimbilia wakati nchi za wenzetu kuwa mwalimu unatakiwa kwanza uwe sio tu na shahada (degree) bali umefanya vizuri ktk masomo...
It's pathetic!!,na kuhusu watu kukimbilia ualimu,si kweli hata huku ualimu hasa kwa shule za serikali siyo ajira inayovutia intellectuals kama unavyodai.