How can Tanzania afford to pay more than in the US or UK? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How can Tanzania afford to pay more than in the US or UK?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 21, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  I have been doing some little studying:

  In the US
  Average Senator or Rep in the US Congress receive about 174,000USD a year
  Average Secondary school teacher receives around 56,000USD a year.
  The US Senator or Rep receives about three times the salary of a teacher.

  In the UK
  Average UK MPs receive about £65,738 a year
  Average Teacher's salary in the UK is about £33,333 a year

  This means the UK MP receives about 2 times the salary of a secondary school teacher.

  In Tanzania
  The Tanzania MP receives about 2500USD a month (I'm purposely omitting all the allowances)
  The Secondary school teachers receives about 360USD a month

  It simply means the MP of Tanzania receive almost 7 times the salary of a secondary school teacher. If I were to put all the MPs allowances which bring his total income about 7000USD you will see that the MP receives in a month almost 18 times the salary that the teacher in Tanzania receives.

  Now, will somebody help me what is the basis of the salary structure in Tanzania? Is it based on some arbitrary factor not tied in any way, shape or form to the productivity of the country?
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  An excellent piece of analysis. But unless you share with us, the rationale for the formula developed in the UK and the US, your request for justification will not mean anything. I would also request you to make a similar study with regard to countries that are neigbouring us and come up with figures. I am sure the Kenyan case would make you collapse!
   
 3. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  In Tanzania being a member of parliament is the "deal"I,m sure even themselves,Pinda and JK they don,t know why and for what there are getting that sum,as how they don't know why we're poor.
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ule usemi 'walio nacho wataongezewa na walala hoi watanyang'anywa hata kile kidogo walichonacho' ni kweli zaidi kwa nchi zetu zinazoendelea.

  Au kwa usemi mwingine unyang'au ni mkubwa zaidi kwetu kuliko katika mataifa ya magharibi.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Thats why nimeuliza kanuni ya Tanzania ni ipi? Miye nimechagua tu mifano (najua sababu mtu yeyote aliyepitia hata nje ya darasa la uchumi na kuelewa ubepari anaweza kukuambia kwanini mishahara ya UK na US iko hivyo). Ya TAnzania sijui ndio maana nimeuliza swali.
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kenya DO NOT go begging to pay for thier MPs salaries. They live within their means and thier budget is 100% Kenyan! Tanzania is depending on the so called 'development parners' to pay civil servant and MPs let alone development programmes ! For the Financial Year 2011/12 budget ya matumizi Ths 8+trillion, budget ya maendeleo Tsh 4+trillion - MAPATO YA NDANI Tshs 6+ trillion.

  USA & UK can afford to pay for thier MPs and feed us, give us mosquito nets, and at the same fight in Iraq, Afaghanistan, na kumtandika babu yenu Ghadafi. And remember, there is no such thing a thing as free lunch- kijana Obama is now holding the remote control from THAT house, he can watch any channel, any time he likes.
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  hivi mnafikiri wakubwa wakikata misaada tutaendelea na malipo ya hivi kabla hakijaungua mitaani?
   
 8. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hujui usemalo na ala hujajadili mada hapa. Hoja ni formula iliyotumika kulipa mishahara ya wabunge viz ile ya waalimu. Kenya, ambao nao wanapata donor funding ni miongoni mwa nchi zinazolipa mishahara mikubwa kwa wabunge na viongozi wao duniani na yet umaskini kwa watu wa chini ni mkubwa sana na kuna maeneo watu wanakufa njaa (Turkana, North Eastern, Eastern and parts of Coast Province).

  Wako pia wanaokufa kwa kiu na hata funza. Mishahara ya waalimu ni midogo kupita kiasi. Je ni sahihi kuwa hivyo hata kama wana-finance budget yao yote? Hata hivyo nao wanapata donor funding, japo siyo kwa kiwango kama chetu. Unadhani kashfa ya funds za free primary education inayoendelea ni hela zao?

  Think bigger bro!
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  give me figures to compare.. please.. kusema "mikubwa" hujasema kitu japo unaweza kuwa unaamini kuwa umesema kitu.

  same like in TZ
  Figures! midogo kwa kiasi gani kulinganisha na ya MP wao?
   
 10. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  I have given you another hunting block. Go and dig for figures to widen your comperative analysis and come up with the conclusion. It will probably enable you to rank the countires in their order of payment of emoluments to their MPs and see how their packages relate to those paid to teachers.
   
 11. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  so, what you are trying to defend is to justify what is happening in Tanzania concerning MPs payments and other benefits?
  Also I am always puzzled on what is so called "job descriptions" being a determinant of salary, does it really work in Tanzania?

   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Sihitaji kufanya hivyo. Ulichosema wewe hakina msingi katika ukweli katika hata kutia shaka hoja ya swali langu. Angalau ungesema mbona Kenya wanalipa x,y na Rwanda x,y na ni sawa na mara z ya mshahara wa mwalimu. Lakini umebakia kusema "Mikubwa" na "midogo"..
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  India ambayo Prime Minister wake juzi alikuja hapa tukampigia magoti na kibakuli wanapata funding from DFID-UK. Na sasa kuna mjadala Britain as whether they should continue providing aid to India. Kwao India it does not matter kama how waingereza watasitisha vijicent vyao au la. They can survive. Hivyo vivyo - Kenya, wanaweza kusitisha fundings but as a nation Kenya will move on and in fact they have moved. Tanzania leo hii donors wakisitisha misaada yao we are finished.Angalia hii miaka miwili WALIYOPUNGUZA (siyo kusitisha) tumeyumba kuliko.

  Kwa kukusaidia. Hapa Tanzania tunapata misaada ya kwa njia tatu, Budget support (GBS), project funds and basket funds. Ukijumlisha hizi 3 payment mechanisms utakuta approx. 50% ya budget inatoka kwa wafadhili. Kenya fundings wanazopata Kenya ni 'project funds' yaani ni nchi inaamua kusaidia kitu fulani basi wanatoa pesa lakini kama nchi hawakai na wafadhili kama sisi tulivyokaa nao pale Ubungo plaza kuomba msaada wa kuendesha HAZINA (cheque book ya nchi).

  Hata hivyo swali la msingi hapa ni formula ya kulipa mishahara kwa MPs. mara kadhaa hili swali limeulizwa lakini majibu yamekuwa "mshahara ni siri ya mtu". Huko UK & USA everything is in the open, mishahara inalipwa kutokana na category aliyoko mtu. Na MP inajulikana kwenye government payment schedule anakuwa kwenye level gani. Ukitaka kujua mshahara wa Prime Minister David Cameroon au Predisent Obama utapata details bila shida yeyote. Hapa habari zimekuwa ni za kuviziana, mara Dr Slaa analipwa million saba, Mukama alipwa kiasi gani? -kimya! Mara tunapokea posho kulipa madereva, oh tunahitaji posho kulipa ombaomba wanakuja bungeni.
   
 14. B

  Bobby JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,683
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  So Kenya wakikosea na sisi tuendelee kukosea? I guess this is too low mweshimiwa. Back to you Mzee Mwanakijiji, ndio maana mimi huwa nasema kila siku kwamba almost viongozi wetu wote subconsciousness zao zimekufa (they are subconsciously dead).

  Huwa najiuliza sana hivi waziri unajisikaje unaenda kutembela hospital na VX la 400m then maboss wako (wajawazito wote wamelala sakafuni) au umetembelea primary school ambayo std 1-7 hawana madawati wote wanaandikia sakafuni unaenda pale unaongea utumbo wako off you go then unaona ok tu.

  Kwangu mimi hii ni zaidi ya ubinafsi kwa kweli, yaani unahitaji roho mbaya kuliko roho ya paka kufanya haya yanayofanywa na viongozi wetu. Yule anayejiita mtoo wa mkulima juzi ndio kanichanganya kabisa. Ni rahisi sana kukimbilia kutoa majibu mepesi ooh watanzania ni wavivu kitu ambacho si kweli kabisa.
   
 15. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nimekupata vizuri sana MM.Nadhani hapa unajaribu kuonyesha jinsi kulivyo na pengo kubwa la mshahara kati ya waheshimiwa wetu na wafanyakazi wengine wa kawaida.Nadhani wakati umefika kwa wafanyakazi wote kuishinikiza serikali ipunguze hilo pengo aidha kwa kuongeza kima cha chini au kupunguza kipato cha wabunge ili kujenga heshima.

  Ni kweli sasa hivi ubunge ni deal na ndo maana watu wanatumia pesa nyingi kuupata.CDM sasa hivi wameanza kuchafua hali ya hewa kwa kutaka kupunguza kipato cha wabunge na ndo maana wabunge wa CCM wamekuja juu sana kwani wanajua kuwa gharama walizoingia mpaka kupata ubunge ni kubwa sana.

  Just imagine mtu kila mwezi ainaingiza 12million halafu leo unataka kumpunguzia mpaka below 5million unadhani atakubali kirahisi? Wafanyakazi wa serikali wanakiwa walikomalie hili kwani kwani wataendelea kunyonywa wakati watawala wakiendelea kuneemeka.
   
 16. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  ni kweli haya mawazo mazuri yalikuwepo lakini hayakuwahi kutolewa hadhari pamoja na wanaoyapinga kama inavyofanyika hivi sasa.
  Surely, this is the beginning of the end ya hizi nonsenses zinazoendelea hapa Tanzania!

   
 17. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  (hapo kwenye red) alafu wenzake wanamsifia eti kaja na GX badala ya VX.
  Hivi hapa si ni sawa na kusema kaacha 'mark II' kaja na 'cheser'!?
   
 18. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...Bunge la Kenya ndilo pekee ambalo wanalipana mishahara minono zaidi duniani. Leo hii Mbunge wa Kenya anaweka mfukoni Kshs 1.1 Miliioni. tena ni Tax Free. sasa convert hio mwenyewe ktk Tshs uone dhambi ya asili wanayoifanya wabunge wa Kenya.
   
 19. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ukweli ni kwamba Tanzania tuna tatizo kubwa sana when it comes to prioritizing. Shida siyo unahela kiasi gani bali unatumiaje kidogo ulicho nacho. It's the same formula na mtu masikini. Mtu masikini hata umpe hela kiasi gani kama ni mfujaji basi hata pata maendeleo. Ila mtu hata akiwa masikini na asipokee misaada akitumia kile kidogo alicho nacho taratibu maisha yataanza kumbadilikia. It's simple economics. Tatizo hatuna viongozi wabunifu na ubaya zaidi hatuna viongozi wanaojua kupangilia hata hicho kidogo tulicho nacho.
   
 20. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  That may be the case but does it justify our own expenses? Tuige mazuri tuache mabaya.
   
Loading...