How Can I Recover My Lost Data

Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,880
10,185
Habari za asubuhi wanaJF nina tatizo moja nimepata kwenye computer yangu so naomba msaada wenu
Computer ilikuwa na VIRUS wa ODINGA nilifanikiwa kumuondoa baadae nika install antivirus ya AVAST wakati inascan niliselect option ya kudelete virus ilivyomaliza kulikuwa na Folder moja kwenye desktop kulikuwa na document zikapotea

Nimejaribu kurecover lakini nimeshindwa kupata hizo document
Nawakilisha
 
hebu tueleze umejaribu vipi ku-recover kabla hatujafikiria kukusaidia au kuelezea labda kuna step umekosea au tukupe maelekezo ya jinsi ya kufanya
 
Nimetumia Ontrack Easy Recover Proffesional but nimepata ambayo nimedelete kuanzia juzi
 
Last edited:
kuna software inaitwa "easy recovery" mwombe invisible akuwekee ui-download yenyewe inaweza kukusaidia zaidi. bahati mbaya hapa nilipo siwezi kukuwekea maana admin wangu ananibana sana. then utasema kama umefikia wapi. by the way invisible anapatikana hapa hapa JF.
 
kuna software inaitwa "easy recovery" mwombe invisible akuwekee ui-download yenyewe inaweza kukusaidia zaidi. bahati mbaya hapa nilipo siwezi kukuwekea maana admin wangu ananibana sana. then utasema kama umefikia wapi. by the way invisible anapatikana hapa hapa JF.

Ndio nimetumia hiyo ila shida yangu kubwa ni kurecover email za outlook
 
Nadhani kama recovery program imekataa kuziona itakua ishapotea, jaribu program nyingine labda utabahatika.
Cha muhimu hapa ni kutodelete files zilizo infected bora kuzimove kwenye Quarantine, just in case.
System restore haiwezi kurecover files zako, inaback up system files only.
 
Nilijaribu software nyingi zikagoma tatizo nilikuwa nataka ni-receover outlook email but nilishindwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom