Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,895
- 10,208
Habari za asubuhi wanaJF nina tatizo moja nimepata kwenye computer yangu so naomba msaada wenu
Computer ilikuwa na VIRUS wa ODINGA nilifanikiwa kumuondoa baadae nika install antivirus ya AVAST wakati inascan niliselect option ya kudelete virus ilivyomaliza kulikuwa na Folder moja kwenye desktop kulikuwa na document zikapotea
Nimejaribu kurecover lakini nimeshindwa kupata hizo document
Nawakilisha