Housegirl

X-PASTER

Moderator
Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,647
Points
1,250

X-PASTER

Moderator
Joined Feb 12, 2007
11,647 1,250
Katika nyumba moja, walikuwa wanakaa mtu na mkewe pamoja na mfanyakazi wa ndani wa kike. Siku moja mke akapotelewa na chupi zake 3. Akamamua kumuuliza mfanyakazi wake kama kachukua chupi zake. Mfanyakazi wa ndani akamkatalia katukaatu kuwa ameiba chupi, kesi ikafika kwa mume... Mashtaka yakawa kama ifuatavyo...

Mke: mume wangu mfanyakazi ameniibia chupi zangu...

Mume akamuita mfanyakazi na kumuuliza... " eti kweli umechukua chupi za mamako?!"

Mfanyakazi akajibu (huku akiona aibu kidogo) " Aku mie sijachukua chupi... kwani we si unajuaga mimi sivai chupi? Tena hizi chupi za nini mie...
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Behaviourist Jokes/Utani + Udaku/Gossips 24

Forum statistics

Threads 1,367,357
Members 521,736
Posts 33,396,228
Top