Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA

Acha upumbavu wewe....! Muhimu ni watoto au house girl??? Au mumee...jibu ni watoto mpende huyo dada watoto wako wawe salama mume kitu gani banaaa...
Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA
mrudishe ajiri house boy
Maana yake ni kwamba humuamini mumewako?Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA