Housegirl malaika

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Sikiliza mazungumzo haya hapa; MTOTO: "Mama hausigeli wetu ni malaika?"
MAMA: "Kwa nini?"
MTOTO: "Jana nilimuona ameshikilia ukuta akiwa uchi, mikono ameinua juu anaongea na Yesu anasema..'Ooh, Yesu wangu nakuja!! Ooh, Yesu wangu nakuja jamani!'
Yaani mama, isingekuwa Baba kumshikilia kwa nyuma nae akiwa uchi, saa hizi angekuwa mbinguni!" Je,angekuwa mwanao anampash mamaake ungefanyaje
 
alafu watu bana...wanapenda taja jina la God au Yeso wakati wa kupara utamu....au ndio kumshukuru kwa kutengeneza utamu balaaa
 
Sikiliza mazungumzo haya hapa; MTOTO: "Mama hausigeli wetu ni malaika?"
MAMA: "Kwa nini?"
MTOTO: "Jana nilimuona ameshikilia ukuta akiwa uchi, mikono ameinua juu anaongea na Yesu anasema..'Ooh, Yesu wangu nakuja!! Ooh, Yesu wangu nakuja jamani!'
Yaani mama, isingekuwa Baba kumshikilia kwa nyuma nae akiwa uchi, saa hizi angekuwa mbinguni!" Je,angekuwa mwanao anampash mamaake ungefanyaje

Aaarrrgggh! Cha zamani hiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom