Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Nani anahatarisha ndoa
Mkuu Nina maana yangu aisee siulizi tu... Nataka kupima upepo mapemamaswali mengine bana......
hapo ndio unajiona umechangia mi point sio?wote ni wazuri, house boy atamhudumia mama na house girl atamhudumia baba.
vile vile husegal anaeza hudumia mtto wa kiume kama yupo na pia house boy anaeza hudumia mtoto wa kike kama yupowote ni wazuri, house boy atamhudumia mama na house girl atamhudumia baba.
unaakili ww sana uko wapi nikutumie hela ya bia fasta loh!Bora houseboy, mara nyingi mahousegirl wanatembea sana na mabosi wao wa kiume, mababa wenye nyumba na hata sometimes watoto wao wa kiume, but ni mara chache wamama wenye nyumba kutembea na mahouseboy, but penda kuwa makini na mahouseboy, wanatabia ya kuwachakachua watoto wa wenye nyumba, kuwa makini na watoto wako wa kike na wa kiume, mahouseboy wengine ni wabakaji.
mmmmmmmmh duh!vile vile husegal anaeza hudumia mtto wa kiume kama yupo na pia house boy anaeza hudumia mtoto wa kike kama yupo
unaona mbali mnooo mpzinategemea unamtaka wa kazi gani. kama wote mnafanya kazi au wote mnatoka asubuhi na kurudi jioni bora housegirl sababu mara nyingi ni waaminifu zaidi na wanatake care ya nyumba viziri kama unawaonesha they are part of the family. ila kama mwenyewe hujiamini basi ni bora houseboy ils ujue mapema hawaaminiki (wengi ni wezi) na lazima close supervision.
Shida ya housegirl ni kama wewe utamtamani tu, hawana shida ingine yoyote.
mpz upo mzima ww mana long kinoma hatujakuatana naona nikiingia ww watoka .................uko poa lknhg ni hatari ila ni bora kuliko hb.
ww waona mbali mnoo kijanahousegal ni bora kama kutakuwepo na shamba boy maana mashamba boy watu wao ni housegal ila house boy ni bora zaid sababu yeye hana madhara sana yeye watu wake wa mtaani tu.
umeona mbali sana kuliko hata mmbora houseboy, ingawa huwezi kuepuka kuwa na housegirl kama wote ni wafanyakazi/biashara
inategemea unamtaka wa kazi gani. kama wote mnafanya kazi au wote mnatoka asubuhi na kurudi jioni bora housegirl sababu mara nyingi ni waaminifu zaidi na wanatake care ya nyumba viziri kama unawaonesha they are part of the family. ila kama mwenyewe hujiamini basi ni bora houseboy ils ujue mapema hawaaminiki (wengi ni wezi) na lazima close supervision.
Shida ya housegirl ni kama wewe utamtamani tu, hawana shida ingine yoyote.