Housegirl apewa adhabu ya kufungwa kwenye mti kwa siku 4

miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,907
Points
2,000
miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,907 2,000
Mfanyakazi wa ndani mjini Ryadhi nchini Saudi Arabia amenusurika kifo baada ya kufungwa kwenye mti uliokuwa juani na bosi wake kwa kosa la kuacha samani za ndani juani.Mwanadada huyo aitwaye Acosta Baruelo, 26 ambaye ni raia wa Ufilipino amesema alifungwa kwenye mti baada ya kuacha baadhi ya samani za thamani juani.

Akielezea jinsi alivyonusurika kwenye adhabu hiyo ya kinyama, amedai kuwa alimuomba mfanyakazi mwenzie wa kike ampige picha kisha asambaze kwenye mitandao ya kijamii kupitia simu yake ya mkononi.

Baada ya tukio hilo, picha hiyo ilianza kusambaa hadi kufikia Mei 9, 2019 tayari Jeshi la Polisi mjini Ryadh lilikuwa limeshaipata nyumba hiyo na kumuokoa mfanyakazi huyo.

Mama huyo aliyetekeleza adhabu hiyo, tayari ameshafunguliwa kesi ingawaje mtuhumiwa wake amesharudishwa nyumbani.

Kufuatia tukio hilo, Ubalozi wa Ufilipino nchini Saudi Arabia ulilazimika kumsafirisha mwanamke huyo kumrudisha nyumbani siku hiyo hiyo aliyookolewa na polisi.
 
The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
2,162
Points
2,000
The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
2,162 2,000
Na unakubalije mpaka unafungwa kwenye mti dah kuna watu wana roho zao bana.
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
6,367
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
6,367 2,000
Kumbe ni wale wale..

Hao watu huwa wanachukulia watu wa mataifa mengine kama wasio na thamani yeyote duniani.
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
5,187
Points
2,000
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
5,187 2,000
Mwarabu mtu mmoja poa sana!!!if you catch what i mean...

Kwa sasa hatuna kauli nyengine ya kusema zaidi ya hii,nitoe pole kwa mtendewa hilo tukio.
 
Nkwe2RG

Nkwe2RG

Senior Member
Joined
Nov 11, 2014
Messages
149
Points
250
Nkwe2RG

Nkwe2RG

Senior Member
Joined Nov 11, 2014
149 250
Mfanyakazi wa ndani mjini Ryadhi nchini Saudi Arabia amenusurika kifo baada ya kufungwa kwenye mti uliokuwa juani na bosi wake kwa kosa la kuacha samani za ndani juani.Mwanadada huyo aitwaye Acosta Baruelo, 26 ambaye ni raia wa Ufilipino amesema alifungwa kwenye mti baada ya kuacha baadhi ya samani za thamani juani.

Akielezea jinsi alivyonusurika kwenye adhabu hiyo ya kinyama, amedai kuwa alimuomba mfanyakazi mwenzie wa kike ampige picha kisha asambaze kwenye mitandao ya kijamii kupitia simu yake ya mkononi.

Baada ya tukio hilo, picha hiyo ilianza kusambaa hadi kufikia Mei 9, 2019 tayari Jeshi la Polisi mjini Ryadh lilikuwa limeshaipata nyumba hiyo na kumuokoa mfanyakazi huyo.

Mama huyo aliyetekeleza adhabu hiyo, tayari ameshafunguliwa kesi ingawaje mtuhumiwa wake amesharudishwa nyumbani.

Kufuatia tukio hilo, Ubalozi wa Ufilipino nchini Saudi Arabia ulilazimika kumsafirisha mwanamke huyo kumrudisha nyumbani siku hiyo hiyo aliyookolewa na polisi.
Spendi uonevu lakin hii picha ni photoshop bhana... kwan propaganda hizi lengo lake ni nin!?
 
Nkwe2RG

Nkwe2RG

Senior Member
Joined
Nov 11, 2014
Messages
149
Points
250
Nkwe2RG

Nkwe2RG

Senior Member
Joined Nov 11, 2014
149 250
Duh "...amefungwa kwenye mti uliokuwa juani..."
 
O

Ongea kuhusu pesa

Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
27
Points
45
O

Ongea kuhusu pesa

Member
Joined Nov 20, 2018
27 45
Hio nyumba haina vijana waliokuwa wanamla mzigo
 
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,105
Points
2,000
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,105 2,000
unaweza kutoa source ya habari yako? bila ya hivo tutaendelea kufahamu kua ni muendelezo wa propaganda za uwongo
 
wambagusta

wambagusta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Messages
1,849
Points
2,000
wambagusta

wambagusta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2014
1,849 2,000
Wanawake Bhana Sasa Unakubari Kufungwa Vipi Asiwe Anajitengezea Mazingira Ili Ajipatie Pesa
 
Pyepyepye

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Messages
1,249
Points
2,000
Pyepyepye

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2017
1,249 2,000
Kuna uhusiano wowote kati ya ile dini na uarabu?
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
4,907
Points
2,000
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
4,907 2,000
Halafu hao wamefunga mwezi mtukufu wa Ramadhani....hawa waarabu ni WANAFIKI kupindukia!
 
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
7,017
Points
2,000
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
7,017 2,000
Warabu hasa Saudia wanaroho mbaya sana. Mafunzo ya dini ya mnyazimungu, hufundisha haya?
 
hydroxo

hydroxo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Messages
1,302
Points
2,000
hydroxo

hydroxo

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2015
1,302 2,000
alimuomba mfanyakazi mwenzie wa kike ampige picha kisha asambaze kwenye mitandao ya kijamii kupitia simu yake ya mkononi.
Sasa alishindwaje kumwambia huyo mfanyakazi mwenzie wa kike aje amfungulie mpaka asubiri polisi?
 
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,321
Points
2,000
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,321 2,000
Nashangaaga mamtu meusi mengine yapo hapa Tz kupenda kujifananisha na waarabu.
 
A

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
1,236
Points
2,000
Age
49
A

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
1,236 2,000
Tukianza kutuma vituko wanavyofanyiwa mahousegirl katika majumba yetu utasema waarabu wana afadhali ni vile tu havisemwi kwanza kabisa anakuwa mtumwa wa ngono kama kuna vijana wakubwa watatu wa nne wote ujue watampitia baba mwenye nyumba nae hachezi mbali asilimia 70 ya wafanyakazi wa ndani wanakutana na kadhia hii
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
90,353
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
90,353 2,000
Hawa watu wana ukatili wa kutisha sana.
 
Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,945
Top