Housegirl akizoea kumpikia mumeo akiomba apikwe utakasirika??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,129
HILI NI KWA WANANDOA NAJUA KUNA WENGI WANA MATATIZO LAKINI KUNA GAP WANAWAKE AMA WAMAMA MNAZIACHIA KWENYE NDOA ZENU ..ZIPO SABABU NYINGIZA KUUMIZANA KWENYE NDO LAKINI KUNA HIZI HABARI ZA KUMWACHIA HOUSEGIRL ANAMPIKIA MUMEO ANAMTENGEA SAA TANO YA USIKU MWISHO WA SIKU AKIOMBA ATENGEWE NA YEYE USIKASIRIKE KABISA

IFIKE WAKATI UJUE WANAUME WENGI WANAPENDA KUBEMBELELEZWA KUPENDWA ...HATA KAMA MCHELE AMENUNUA MUME MWENZIE HAKI YAKE KUMPIKIA MPE JAMANI..AIJALISHI AJATOA CHAKULA NYUMBAN BASII NA KUTENGEWA ATENGEWE NA DADA WA NYUMBANI

SIPENDI KUSEMA MBAYA ILA MUWE MAKINI SANA KUNA FAMILIA AMBAZO HOUSEGIRL ANAFANYA KILA KITU NA UKIMWACCHA MUMEO NYUMBAN NA DADA WA NYUMBAN HATA AMANI HUNA KILA MARA UNAPIGA SIMU USHATOKA YA NINI YOOOTE KWA NINI USITAFUTE SOLN YA HAYO MATATIZO????

HOUSEGIRL ANA FUA NGUO
ANA MPIKIA MUMEO
ANAMTENGEA CHAKULA
ANAMPASIA NGUO
ANAMPPIGIA BRUSH VYATU MUMEO
WEWE BADO UKO NDANI UNASEMA UMEOLEWA???HAPANA JAMANI LAWAMA ZINGINE TUACHE KUMSINGIZIA SHETANI EMBU KAMA UNAWEZA KUFANYA BAASHI JITAHDI BASI NA Mungu akubairiki kwa kupunguza talaka za ndoa mahakamani
 
HALOOOOOOOOOOOOO! Pdiddy leo umekuja kufunda mwari sijui harusi ya nani imekaribia....
 
Subiri wanaharakati waje hapa utapata tu majibu ya kutosha.
 
jaman mbona mwapenda kututesa watoto wa wenzenu halafu viwango vikishuka mnatutafutia dogodogo
 
Subiri wanaharakati waje hapa utapata tu majibu ya kutosha.
Halafu mwenyewe si anawajua!! Niliwaona kule kwenye ile thread ya ilikuwaje siku ya kwanza kum-cheat mpenzio walivyokuja juu. Unajua wakati mwingine wanaume wanaonekana wakorofi kumbe sisi wawazi.

Tuna cheat lakini na wake za watu, lakini wenyewe wakija humu ugomvi wake balaa. Sasa hili la House Galz mimi nina ushahidi nalo kwa familia moja kufa kwa UKIMWI kwa sababu wote kuanzia baba hadi watoto wake watatu walikuwa wanagonga House Gal kama hawana akili nzuri kwa siri kila mtu kwa wakati wake.Mama mwenye nyumba anaishi Songea baba yuko Mbinga na watoto wake.

wanaume wengi sana wanalamba hawa ma- Huose Gal isipokuwa wanajikausha, na kisa hasa kinakuwa hawa wasichana kwa kweli huwa wanaonyesha utu sana kuliko wake wenyewe wenye nyumba. Akitumwa anakwenda bila kinyongo, mzee akiumwa anaonyesha huruma ya kweli wakati huo mama yuko bize kupaka rangi kucha!!
 
kwangu hagusi kitu yoyote ya mume wangu kila kitu nitafanya mm yy atafanya vingine vyote akipenda ila sio kugusa chochote kinakomhusu mume wangu..............MANA NITAUA YANI NITAUAAAAAAA KABISAAAAAAAAAA BILA HESITATION YOYOTE ILE
 
Dah.....!!! Huyo ndo AMINATA9, mwingine photocopy!!
 
mbona wanaume wengi tu wanawakamuaga hawa ma beki3 sana tu. Ndo mana kigezo cha wife wengi kuchagua beki3 ni lazima awe polygon(ambaye hana mvuto), ili waume zao wasijepiga mzigo.
 
kwangu hagusi kitu yoyote ya mume wangu kila kitu nitafanya mm yy atafanya vingine vyote akipenda ila sio kugusa chochote kinakomhusu mume wangu..............MANA NITAUA YANI NITAUAAAAAAA KABISAAAAAAAAAA BILA HESITATION YOYOTE ILE

nyie si ndo mnavosemaga nje.
Ila mkiwa ndani ya ndoa tayari, unampa beki3 boxa za mmeo afue! Tena unakusanya za wiki nzima ndo unampa. Na kuwazoesha mabeki3 kuingia MBR yenu kama jikoni.
 
pdidy,
kumbuka kuna wanaume ambao wake zao wanayafanya yote hayo na bado wanatembea na hgs.

halafu unajua how romantic it is unapompikia mkeo? akirudi home anakuwa suprised mumewe kampikia?
ila mijanaume ya kiafrica itakwambia huyo mwanaume atakua katawaliwa na mkewe.

kikubwa ni tabia ya mwanaume husika, tabiua ya housegirl, na mke kufanya hayo "majukumu" yake ipasavyo, kuwe na limit ya kazi za hg, zote za chumbani mke ahusike moja kwa moja, na nyie wanaume mara moja moja wapikieni wake zenu huwa wanaenjoy sana na kunogesha mahaba

Wanawake wa dot.com wavivu anamwachia beki 3 mchakato wote hadi mpelekee baba yako maji bafuni eeh..mama yuko kwenye tamthilia na akitoka hapo anakula kilichoandaliwa na mumewe na kwenda kulala...yani kitchen part hazisaidii kabisa kama binti akulelewa malezi ya kufanya kaazi
 
HILI NI KWA WANANDOA NAJUA KUNA WENGI WANA MATATIZO LAKINI KUNA GAP WANAWAKE AMA WAMAMA MNAZIACHIA KWENYE NDOA ZENU ..ZIPO SABABU NYINGIZA KUUMIZANA KWENYE NDO LAKINI KUNA HIZI HABARI ZA KUMWACHIA HOUSEGIRL ANAMPIKIA MUMEO ANAMTENGEA SAA TANO YA USIKU MWISHO WA SIKU AKIOMBA ATENGEWE NA YEYE USIKASIRIKE KABISA

IFIKE WAKATI UJUE WANAUME WENGI WANAPENDA KUBEMBELELEZWA KUPENDWA ...HATA KAMA MCHELE AMENUNUA MUME MWENZIE HAKI YAKE KUMPIKIA MPE JAMANI..AIJALISHI AJATOA CHAKULA NYUMBAN BASII NA KUTENGEWA ATENGEWE NA DADA WA NYUMBANI

SIPENDI KUSEMA MBAYA ILA MUWE MAKINI SANA KUNA FAMILIA AMBAZO HOUSEGIRL ANAFANYA KILA KITU NA UKIMWACCHA MUMEO NYUMBAN NA DADA WA NYUMBAN HATA AMANI HUNA KILA MARA UNAPIGA SIMU USHATOKA YA NINI YOOOTE KWA NINI USITAFUTE SOLN YA HAYO MATATIZO????

HOUSEGIRL ANA FUA NGUO
ANA MPIKIA MUMEO
ANAMTENGEA CHAKULA
ANAMPASIA NGUO
ANAMPPIGIA BRUSH VYATU MUMEO
WEWE BADO UKO NDANI UNASEMA UMEOLEWA???HAPANA JAMANI LAWAMA ZINGINE TUACHE KUMSINGIZIA SHETANI EMBU KAMA UNAWEZA KUFANYA BAASHI JITAHDI BASI NA Mungu akubairiki kwa kupunguza talaka za ndoa mahakamani

Safi sanaa Mkuuu nimeipenda hii.
 
Kaka pole kwa yaliyokupata. Sasa siku nyingine usilalamike sana wewe yule house girl mshukuru tu vizuri harafu yeye mama muombee kausingiuzi kazito kidogo. Maana wengine tunapenda kamtindo ka house girl kuniandalia chakula usiku tena nachelewa makusudi ili aniandalie msosi kumbe wewe hutaki bwana.
 
Malaya nawaona mnapeana mbinu•bibilia inasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa so wanaume wengi hawana akili kabisa
 
kaka ebu define Malaya, harafu jipime wewe uko wapi?
 
Back
Top Bottom