Kiwi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 1,054
- 990
Wanajamii heshima kwenu.
Ninatafuta nyumba ya kupanga self-contained Dar Es Salaam, yenye vyumba vitatu vya kulala na iliyo kwenye sehemu yenye utulivu na usalama. Kwa kuwa suala lenyewe ni urgent kiasi, sitachagua sehemu ilipo, mradi iwe sehemu iliyo na easy access kwa barabara. Bei kati ya shilingi laki mbili na laki tatu kwa mwezi. Kama una nyumba au una taarifa za nyumba inayopangishwa, tafadhali wasiliana na mimi kwa namba 0653898369.
Natanguliza shukrani.