House of Commons, UK, Bunge la Kenya etc wabunge huzichapa sometimes nasubiri TZ MPs

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,846
16,738
Niliposikia kauli ya Chili eti wabunge wa CHADEMA wanaweza kufukuzwa bungeni, nilimshangaa na kusema huyu ni Spika, naibu, au...? hata sheria na kanuni hajui, anaongea tu, uzee unamjia vibaya, nafikiri ule muda wa wabunge sasa kupeana na kushikishana adabu umefika, ngumi puuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhh, maana it hurts mtu mzima anaongea kama yy ni mungu mtu, sometimes displine inapatikana kwa kuzichapa natoa mawazo fanyieni kazi.
 
Yote haya ni geresha tu!!!!!!!!!!!!! Nafsi zinawahukumu kuliko!!!!!!!!!!!!!! Tena wengine wanajiita wacha Mungu!!!!!!!!!!!!!!!! DHAMIRI ZINAWATAFUNA!!!!!!!!!!! kwa kutwaa utawala kwa njia ya LAANA!!!!!!!!!!!!Kwa wanadamu watatamba lakini kwa sala na dua zinazoendelea kutoka kote nchini wasubiri tu waone kama watahimili uzito na ukali wa UPANGA wa Mungu wakati wa Mungu utakapowadia!!!!!!!!!!! Kumbukeni wanaJF kwamba kwa Mungu rushwa, ufisadi, wizi, ni dhambi-ye yote anayetetea maovu haya kama chiligati anashirikiana na wayatendayo. chiligati wewe unayejiita mkristo soma UFUNUO 21:8
:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:

Kwa wapenda haki ni MPAKA KIELEWEKE:target::target::target::target::target::target::target::target:
 
Back
Top Bottom