House girl wangu ananitega

Chelenje

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
552
22
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?
 
unategwa au unajitegesha?
 
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

Akivaa kanga moja , jaribu kumgusa makalio. Ukiona kacheka we endelea. Akiwa Mkali mtimue kwani anaweza kuja kusema wife akirudi.
 
Mpe dose yake halafu umfukuze kazi, akirudi madam mwambie umeachisha kazi kwasababu ya tabia mbaya ya wanaume hapo mtaani pia alikutia majaribuni!
 
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

Uhuni tu huo unataka kuuanza,anakutega vipi kama na wewe humtamani?
 
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

Wewe umeshapanga kummega unatafuta support tu hapa!!
 
Kwanini uruhusu mazingira ya kuwa wawili tu sebuleni? kwani hapo kwako hakuna watoto? kama wapo jitahidi kurudi mapema kabla hawajalala ili msosi upate na watoto nadhani atakosa muda wa kufanya upuuzi wake.

Vinginevyo kula vitu.
 
Back
Top Bottom