House Girl Mchapa kazi huyu hapa (Re-Advertised)

Tangazo la zamani kidogo jamani. Je ameshapata kazi?? Kama yupo tiyari kuja Moshi. Mwambie a PM haraka kazi ipo na mshahara ni laki na kula kulala bure
 
Ni binti form 4 leaver wanataka kazi za ndani, ni mchapa kazi(yuko Mwanza, na she is ready to work anywhere in Tz or Abroad....

Inbox for those who are seriously looking for a competent house maid na hata kazi zingine.
Sorry,
Unaweza kuweka Picha yake please??
 
Tangazo la zamani kidogo jamani. Je ameshapata kazi?? Kama yupo tiyari kuja Moshi. Mwambie a PM haraka kazi ipo na mshahara ni laki na kula kulala bure
Kama bado niambie nikuunganishe na dada mmoja hv..
 
Ni binti form 4 leaver wanataka kazi za ndani, ni mchapa kazi(yuko Mwanza, na she is ready to work anywhere in Tz or Abroad....

Inbox for those who are seriously looking for a competent house maid na hata kazi zingine.

Natak mfanyakaz
 
Hi Dunia ya sasa haina haja ya kutongoza maana kama hapa inaonyesha tayari umeshatongozewa we ni kulipa tu na kwenda kula mzigo
 
Back
Top Bottom