House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

navin dippe

Member
May 18, 2015
47
104
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza swali hili kutokana na utaratibu uliopo nyumbani kwangu. Juzi nilikuta kuna ugomvi kati ya wife na house maid wetu, ambapo yule binti alikua amefura kwa hasira, kasimama katika mlango wa Chumba chetu akidai apewe pesa zake asepe usiku huo huo na alikua tayari ana begi mkononi.

Nikambembeleza, nikamuomba asiondoke usiku huo asubiri asubuhi, wife akatoka chumbani kama mbogo na kunigeuzia kibao kwamba kwanini nambeleleza kwamba nimwache aende na hapati hata senti, ukawa ugomvi mkubwa sana, ambapo binti kwa hasira akamjibu wife kuwa "" kama wewe ni mke bora usingeshindwa kumfulia mmeo hata boxer hadi unaleta kwangu, hufai""" kwa kweli sikuwahi kujua huwa anampa maid afue boxer zangu.

Huwa naona zimeshafuliwa na kupigwa pasi mimi navaa tu, juzi ndio niligundua hili suala, anyway yule binti alingangania kuondoka usiku ule kwamba yeye ni mtu mzima anajua anakoenda, tukaenda kwa Mjumbe nikampa nusu ya pesa anazodai zingine atarudia kama laki tatu hivi, kumbe siku zote nikitoa mshahara wife hampi anadai anamtunzia kwamba ataharibikiwa akimpa monthly.

Jana nikawa namuuliza wife kuwa kumbe boxer pia huwa unampa afue? Badala ya kunijibu kajikasirisha uongo na kweli ili tuiache hiyo mada, kwamba inakuaje nina mtetea housegirl hadi kufikia hatua kumbembeleza asiondoke, anyway hayo yakaisha.

Ila tu nikajiuliza swali hivi ni jambo la kawaida kwa maid kufua boxer zangu? Mimi ndio sielewi inavyokua maana wakati mwingine pale mbele ya boxer huwa panatengeneza miduara ya mabaki ya mbegu mara baada ya tendo usiku, yale matone huwa yanaendelea usiku na kukaukia pale.

Sasa ni sawa kwa housegirl kuifua nguo hiyo?
 
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza swali hili kutokana na utaratibu uliopo nyumbani kwangu. Juzi nilikuta kuna ugomvi kati ya wife na house maid wetu, ambapo yule binti alikua amefura kwa hasira, kasimama katika mlango wa Chumba chetu akidai apewe pesa zake asepe usiku huo huo na alikua tayari ana begi mkononi

Nikambembeleza, nikamuomba asiondoke usiku huo asubiri asubuhi, wife akatoka chumbani kama mbogo na kunigeuzia kibao kwamba kwa nn nambeleleza kwamba nimwache aende na hapati hata senti, ukawa ugomvi mkubwa sana, ambapo binti kwa hasira akamjibu wife kuwa "" kama wewe ni mke bora usingeshindwa kumfulia mmeo hata boxer hadi unaleta kwangu, hufai""" kwa kweli sikuwahi kujua huwa anampa maid afue boxer zangu,

Huwa naona zimeshafuliwa na kupigwa pasi mm navaa tu, juzi ndio niligundua hili suala, anyway yule binti alingangania kuondoka usiku ule kwamba yeye ni mtu mzima anajua anakoenda, tukaenda kwa Mjumbe nikampa nusu ya pesa anazodai zingine atarudia kama laki tatu hivi, kumbe siku zote nikitoa mshahara wife hampi anadai anamtunzia kwamba ataharibikiwa akimpa monthly

Jana nikawa namuuliza wife kuwa kumbe boxer pia huwa unampa afue? Badala ya kunijibu kajikasirisha uongo na kweli ili tuiache hiyo mada, kwamba inakuaje nina mtetea hg hadi kufikia hatua kumbembeleza asiondoke, anyway hayo yakaisha

Ila tu nikajiuliza swali hivi ni jambo la kawaida kwa maid kufua boxer zangu? Mm ndio sielewi inavyokua maana wakati mwingine pale mbele ya boxer huwa panatengeneza miduara ya mabaki ya mbegu Mara baada ya tendo usiku, Yale matone huwa yanaendelea usiku na kukaukia pale,
Sasa ni sawa kwa hg kuifua nguo hiyo?
Boxer zako fua mwenyewe.
Na huyo mke wako hana akili.
 
Kwahiyo ndugu yetu siku zote hizi hujajua kama SIO SAWA kwa hg sio tu kufua boxer hata nguo zako ikiwa umeoa?? Jijadili, jitafakari, chukua hatua.
 
Kaka ynamke kilaza kweli...ukute hata chupi zake anampatia! Kweli hilo sijambo zuri kabisa...chupi ni Kama sehemu zako nyeti...kumpa mtu baki na mkeo kufua ni sawa na kujiacha uchi mbele zake...
 
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza swali hili kutokana na utaratibu uliopo nyumbani kwangu. Juzi nilikuta kuna ugomvi kati ya wife na house maid wetu, ambapo yule binti alikua amefura kwa hasira, kasimama katika mlango wa Chumba chetu akidai apewe pesa zake asepe usiku huo huo na alikua tayari ana begi mkononi.

Nikambembeleza, nikamuomba asiondoke usiku huo asubiri asubuhi, wife akatoka chumbani kama mbogo na kunigeuzia kibao kwamba kwanini nambeleleza kwamba nimwache aende na hapati hata senti, ukawa ugomvi mkubwa sana, ambapo binti kwa hasira akamjibu wife kuwa "" kama wewe ni mke bora usingeshindwa kumfulia mmeo hata boxer hadi unaleta kwangu, hufai""" kwa kweli sikuwahi kujua huwa anampa maid afue boxer zangu.

Huwa naona zimeshafuliwa na kupigwa pasi mimi navaa tu, juzi ndio niligundua hili suala, anyway yule binti alingangania kuondoka usiku ule kwamba yeye ni mtu mzima anajua anakoenda, tukaenda kwa Mjumbe nikampa nusu ya pesa anazodai zingine atarudia kama laki tatu hivi, kumbe siku zote nikitoa mshahara wife hampi anadai anamtunzia kwamba ataharibikiwa akimpa monthly.

Jana nikawa namuuliza wife kuwa kumbe boxer pia huwa unampa afue? Badala ya kunijibu kajikasirisha uongo na kweli ili tuiache hiyo mada, kwamba inakuaje nina mtetea housegirl hadi kufikia hatua kumbembeleza asiondoke, anyway hayo yakaisha.

Ila tu nikajiuliza swali hivi ni jambo la kawaida kwa maid kufua boxer zangu? Mimi ndio sielewi inavyokua maana wakati mwingine pale mbele ya boxer huwa panatengeneza miduara ya mabaki ya mbegu mara baada ya tendo usiku, yale matone huwa yanaendelea usiku na kukaukia pale.

Sasa ni sawa kwa housegirl kuifua nguo hiyo?

Kwanza nikupe pole sana,siyo sawa kabisa housegirl kufua Boxes zako huyo mkeo ni mpuuzi sana na hana adabu kabisa.
Mimi naomba niwashauri hawa mabinti wa siku hizi ni vyema mkawa mnaomba ushauri kabla hamjaamua kuingia kwenye maisha ya ndoa maana mnafanya mambo ya ajabu tena ya kuwadhalilisha wazazi hapo inamaana unataka kuuaminisha umma hata boxes za baba yako zilikuwa zinavuliwa na house girl ?
Hivi zile kitchenparty ni za nini ? au mnatafuta kupewa vyombo ?Jitambueni Bwana acheni kutudhalilisha sisi wazazi.
 
Nguo za ndani ni jukumu lako na mke wako...!
..Utampaje msaidizi boxer na pichu afue?
 
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza swali hili kutokana na utaratibu uliopo nyumbani kwangu. Juzi nilikuta kuna ugomvi kati ya wife na house maid wetu, ambapo yule binti alikua amefura kwa hasira, kasimama katika mlango wa Chumba chetu akidai apewe pesa zake asepe usiku huo huo na alikua tayari ana begi mkononi.

Nikambembeleza, nikamuomba asiondoke usiku huo asubiri asubuhi, wife akatoka chumbani kama mbogo na kunigeuzia kibao kwamba kwanini nambeleleza kwamba nimwache aende na hapati hata senti, ukawa ugomvi mkubwa sana, ambapo binti kwa hasira akamjibu wife kuwa "" kama wewe ni mke bora usingeshindwa kumfulia mmeo hata boxer hadi unaleta kwangu, hufai""" kwa kweli sikuwahi kujua huwa anampa maid afue boxer zangu.

Huwa naona zimeshafuliwa na kupigwa pasi mimi navaa tu, juzi ndio niligundua hili suala, anyway yule binti alingangania kuondoka usiku ule kwamba yeye ni mtu mzima anajua anakoenda, tukaenda kwa Mjumbe nikampa nusu ya pesa anazodai zingine atarudia kama laki tatu hivi, kumbe siku zote nikitoa mshahara wife hampi anadai anamtunzia kwamba ataharibikiwa akimpa monthly.

Jana nikawa namuuliza wife kuwa kumbe boxer pia huwa unampa afue? Badala ya kunijibu kajikasirisha uongo na kweli ili tuiache hiyo mada, kwamba inakuaje nina mtetea housegirl hadi kufikia hatua kumbembeleza asiondoke, anyway hayo yakaisha.

Ila tu nikajiuliza swali hivi ni jambo la kawaida kwa maid kufua boxer zangu? Mimi ndio sielewi inavyokua maana wakati mwingine pale mbele ya boxer huwa panatengeneza miduara ya mabaki ya mbegu mara baada ya tendo usiku, yale matone huwa yanaendelea usiku na kukaukia pale.

Sasa ni sawa kwa housegirl kuifua nguo hiyo?

Unachofikiria sio sahihi.
 
hahaahhahahaha baba zetu wa kidijitali wanajifanya wanatafuta mapene hadi ukaribu na familia unapungua,kiukweli wadada wa kazi nyumba nyingi wanafulishwa nguo za ndani,tena makapu yanatolewa siku za kazi watu wengi hawapo na mikwara juu wanapewa. Wanawake baadhi wana roho za kijasusi sijapata kuona.

Fua mwenyewe tu pichu zako hapo umepatikana badala ya kupata.Mdada wa watu kashika mbegu weeeeee hadi kakinaika kaona asepe zake.
 
Ila tu nikajiuliza swali hivi ni jambo la kawaida kwa maid kufua boxer zangu? Mimi ndio sielewi inavyokua maana wakati mwingine pale mbele ya boxer huwa panatengeneza miduara ya mabaki ya mbegu mara baada ya tendo usiku, yale matone huwa yanaendelea usiku na kukaukia pale.
Sasa ni sawa kwa housegirl kuifua nguo hiyo?

kwa hiyo usiku ukimaliza kugonga unavaa boxer yako? Ok it doesn't matter, ivi na wewe unafikiri house gelo hajui kuwa mnakulanaga na my wife wako mpaka aone mbegu kwa pichu? kwa hiyo wewe hofu yako nikuwa asione mbegumbegu zako kwa pichu?
 
mmmmmm jamani simlaumu huyu mkaka kwakutokujua nani anafua boxer zake,lakini kwamtazamo wangu mimi au nisema kwa malezi na mapenzi yangu kwa mume na familia yangu,Boxer,flana za ndani niwajibu wangu mimi mke kufua kupiga pasi nakuziweka sehemu husika na mpaka usafi wa chumba changu choo changu nifanye mwenyewe kama mke, sasa mpaka H/G anafikia kufua boxer ya Mume wangu imebakia nini hapo zaidi ya kulala nae?

Mvivu kweli sikatai au nachoka na kazi lakini chakula chake na chochote kinacho muhusu yeye mimi ndio ntafanya sio dada wa kazi.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom