House girl kanifichia siri, sijui nimpe zawadi gani?

Kwema wakubwa?
Wife alisafir kama week hivi imepita..home akaniacha mimi na dada wa kazi.
Sasa me toka juzi nilikuwa silali home,nilikuwa nalala kwa mchepuko wangu flani hivi hapa mtaani.nilikuwa narudi home asubuhi, so kumbe nahisi wife ni kama alikuwa kaweka mtego, Leo karudi asubuhi ghafla, hakunikuta home.kumuuliza house girl nilipo,akajibiwa kuwa nimeenda church kumbe toka jana usiku niko zangu kwa mchepuko.asee nimerudi nikamkuta wife yuko bafuni ,tukasalimiana akaniuliza habari za church nami nikazuga nilikuwa church kweli.hapa nafikiria kumtafutia Huyu house girl kazawadi kazuri kwa kuniepusha na ule msala.
Subiri mwisho wa mwezi beki tatu akitaka kupandishiwa mshahara alafu mshindwe ndio utajua hujui!!
 
Bora waif wako anamwacha haus gel uyu wangu hata akienda kwao sku mbil anam beba na hous grl ua na mind sana sema nakaza kiume tu
Mie wangu alikuja wa kawaida,kakaa hapa miezi 7,ameiva kinyama. Juzi kaaga anaenda kwao Dom atarudi,nashangaa mamaake kasema hatorudi tena anaolewa. Yaani imeniuma balaa. Namuuliza wife kama ana namba zake anasema hana,nilitaka nimuwahi aisee kabla hajaolewa. J5 naenda Dom,ningemdaka hukohuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwema wakubwa?
Wife alisafir kama week hivi imepita..home akaniacha mimi na dada wa kazi.
Sasa me toka juzi nilikuwa silali home,nilikuwa nalala kwa mchepuko wangu flani hivi hapa mtaani.nilikuwa narudi home asubuhi, so kumbe nahisi wife ni kama alikuwa kaweka mtego, Leo karudi asubuhi ghafla, hakunikuta home.kumuuliza house girl nilipo,akajibiwa kuwa nimeenda church kumbe toka jana usiku niko zangu kwa mchepuko.asee nimerudi nikamkuta wife yuko bafuni ,tukasalimiana akaniuliza habari za church nami nikazuga nilikuwa church kweli.hapa nafikiria kumtafutia Huyu house girl kazawadi kazuri kwa kuniepusha na ule msala.
Hehehehe
20210523_161605.jpg
 
Mie wangu alikuja wa kawaida,kakaa hapa miezi 7,ameiva kinyama. Juzi kaaga anaenda kwao Dom atarudi,nashangaa mamaake kasema hatorudi tena anaolewa. Yaani imeniuma balaa. Namuuliza wife kama ana namba zake anasema hana,nilitaka nimuwahi aisee kabla hajaolewa. J5 naenda Dom,ningemdaka hukohuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom