Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,125
Angekufanyia Mwanao kama alivyomfanyia huyu Malaika asie na hatia je ungeli msamehe? Ninatamani awe Mfanyakazi wako ili nipate kuona huo msahama wako.Tusubiri mahakama jinsi watakavyoamuwa.Kama Yesu Kristo Wa Nazareth Aliweza Kuwasamehe Kuanzia Waliokuwa Na Dhambi Kubwa Akina Rahab ( Rahel ) Na Mpaka Wauaji Na Maisha Yakaendelea Itakuwaje Sisi Dunia Tushindwe Kumsamehe Huyu Binti? Ameshajutia Kosa Lake Na Anachotakiwa Ni Counseling Tu. Ila Na Nyie Mlio Na Mabeki Tatu Muwe Na Mapenzi Nao Kwani Sababu Za Yote Haya Zinginezo Nyie Pia Ni Sababu............Binafsi Nimemsamehe Nikifuata Nyayo Za Yesu Kristo!
Hiyo jela iwe chumbani kwangu, sina mke wala mtoto, ataipata fureshi!Kumbe ni mtu mzima kiasi hicho? Nasema afungwe tu. Si chini ya miaka 2.
Hiyo jela iwe chumbani kwangu, sina mke wala mtoto, ataipata fureshi!
Ha ha !Hata wale wanao endaga kula fungate kuna baadhi yao huishia kupiga picha ktk fukwe za bahari ilhali walikuwa wamepania kutoa dozi mwanzo mwisho. So unaweza kujikuta ndani ya siku 2 huna hamu kabisa na dada wa watu akajikuta anakua huru mchana kweupeee!
Kumbe ni mtu mzima kiasi hicho? Nasema afungwe tu. Si chini ya miaka 2.
Kama Yesu Kristo Wa Nazareth Aliweza Kuwasamehe Kuanzia Waliokuwa Na Dhambi Kubwa Akina Rahab ( Rahel ) Na Mpaka Wauaji Na Maisha Yakaendelea Itakuwaje Sisi Dunia Tushindwe Kumsamehe Huyu Binti? Ameshajutia Kosa Lake Na Anachotakiwa Ni Counseling Tu. Ila Na Nyie Mlio Na Mabeki Tatu Muwe Na Mapenzi Nao Kwani Sababu Za Yote Haya Zinginezo Nyie Pia Ni Sababu............Binafsi Nimemsamehe Nikifuata Nyayo Za Yesu Kristo!
majuto ni mjukuu...