House Girl aliyemtesa mtoto uganda aomba samahani leo mahakamani.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,109
10845974_581716048594690_1395351133337086052_n.jpg

10354877_581716085261353_3181969539527691725_n.jpg
 
Kama Yesu Kristo Wa Nazareth Aliweza Kuwasamehe Kuanzia Waliokuwa Na Dhambi Kubwa Akina Rahab ( Rahel ) Na Mpaka Wauaji Na Maisha Yakaendelea Itakuwaje Sisi Dunia Tushindwe Kumsamehe Huyu Binti? Ameshajutia Kosa Lake Na Anachotakiwa Ni Counseling Tu. Ila Na Nyie Mlio Na Mabeki Tatu Muwe Na Mapenzi Nao Kwani Sababu Za Yote Haya Zinginezo Nyie Pia Ni Sababu............Binafsi Nimemsamehe Nikifuata Nyayo Za Yesu Kristo!
 
Angekufanyia Mwanao kama alivyomfanyia huyu Malaika asie na hatia je ungeli msamehe? Ninatamani awe Mfanyakazi wako ili nipate kuona huo msahama wako.Tusubiri mahakama jinsi watakavyoamuwa.
 
Mahakama haina hizo mambo, kama kakiri kosa, kwanza anatiwa hatiani, ikifuatiwa na adhabu baada ya kusikilizwa shufaa kutoka kwa mshitakiwa..period.
 
Hiyo jela iwe chumbani kwangu, sina mke wala mtoto, ataipata fureshi!

Hata wale wanao endaga kula fungate kuna baadhi yao huishia kupiga picha ktk fukwe za bahari ilhali walikuwa wamepania kutoa dozi mwanzo mwisho. So unaweza kujikuta ndani ya siku 2 huna hamu kabisa na dada wa watu akajikuta anakua huru mchana kweupeee!
 
Ha ha !
Muu mi nakula huyo kwa breaffast, halafu najipa time kidogo, mchana lunchi.

Jioni navuta pumzi kidogo halafu dinner, ni kama dozi 3x1 daily!
 
Inapofikia habari ya mtoto kunyanyaswa hata awe wa nani huwa sina huruma kabisa na mnyanyasaji. Hao wanaomuonea huruma nahisi wana walakin
 
Kama Yesu Kristo Wa Nazareth Aliweza Kuwasamehe Kuanzia Waliokuwa Na Dhambi Kubwa Akina Rahab ( Rahel ) Na Mpaka Wauaji Na Maisha Yakaendelea Itakuwaje Sisi Dunia Tushindwe Kumsamehe Huyu Binti? Ameshajutia Kosa Lake Na Anachotakiwa Ni Counseling Tu. Ila Na Nyie Mlio Na Mabeki Tatu Muwe Na Mapenzi Nao Kwani Sababu Za Yote Haya Zinginezo Nyie Pia Ni Sababu............Binafsi Nimemsamehe Nikifuata Nyayo Za Yesu Kristo!

Hongera mzazi wa mtoto kwa moyo wa huruma' natumaini utamrudisha nyumbani kwako aendelee na kazi.
Maana sisi wengine aliepigwa si mtoto wetu lakini bado tumeumia na hata tumeshau mafundisho Ya Yesu wa Nazareth
 
Kama mungu ameahidi moto kwa kiumbe alomuumba namie ngeahidi kunyoga kwa kiumbe huyu muuaji
 
Dah, pole sana kwa familia ya mtoto aliyeteswa. Huyo binti ana roho ya kinyama.
 
Back
Top Bottom